orodha ya watu waliosoma udsm na sifa zao

Tehetehetehetehetehetehetehe. Pamoja na hayo, UDSM ndo baba lao. The best University in TZ.

kusema wanafunzi bora
wanatoka Udsm kwa kigezo
kipi? (kuongoza kuwa na
machangudoa? kuwa na idadi
kubwa ya discont..? kuongoza
kwa low GPA? kuongoza kwa
migomo? kuwa naufanisi
mdogo kwenye maeneo ya
kazi?kuongoza kwa kufanyiwa
tafiti mtaani (za
Undergraduate na
Postgraduate)?
 
kusema wanafunzi bora
wanatoka Udsm kwa kigezo
kipi? (kuongoza kuwa na
machangudoa? kuwa na idadi
kubwa ya discont..? kuongoza
kwa low GPA? kuongoza kwa
migomo? kuwa naufanisi
mdogo kwenye maeneo ya
kazi?kuongoza kwa kufanyiwa
tafiti mtaani (za
Undergraduate na
Postgraduate)?
hapo kwenye GPA ndogo rekebisha, ujue kuwa, udsm wanabana sana, hivyo wanafunzi wanasoma kwa bidii sana kwasababu bila hivyo wanasup au kudisco...C ya udsm ni sawa na A ya Mzumbe, St. augustine au tumaini. kuhusu ufanisi, hapo hujui unaloongea, wahitimu wa udsm wana extra confidence kuliko wale wa mzumbe saut na tumaini ambao mara zote huwa wanajifeel infirior mno hata makazini wanataka mudsm afanye kwanza wamwangalie ndo wao wafuate.nyie vyuo vingine naomba muwe na adabu udsm ni baba yenu hamuwezi kuongea kwa kumkosea heshima, nyamaza kimya alaaa!
 
Kumbe ni muhitamu wa UD? Chck wahitimu wa UD, UDSM finest commnt na hapa
tundu-lissu-2.jpg

Zitto-Kabwe.jpg

mdee1.jpg

Magufuli(56).jpg

MnyikaOfisi(3).jpg
umemsahau mwigulu nchemba
 
Mimi navijua vimeo vitano, naomba ulinzi ili niwataje kinagaubaga.
 
unahakika mh. mnyika ni graduate wa mlimani?

unajua historia ya mnyika ww? 2005 aligombea akiwa bado anasoma akapata kura zote za wanaud ndo maana 2010 wakafunga vyuo baada ya kuona upepo wa vyuo hauendi upande wao
 
acha kufuatilia mwanaume kila nachopost na comment zangu humu inafanya nitilie shaka tabia zako

Hiv are you guy 4 real? Nna mashaka sana na uwezo wako kiakili(kutokana na majibu yako, you never fail 2 amaize me). Okay unafungua Nyuzi za ajabu za kuponda UD, una comment same cr*p za kuponda UD day 2 day and wat? You expected no one will notice! We jamaa nmekumezea long fck, m2 anaanzisha post ya maendeleo unaingia kujambia na ujinga wako wa UD! Embu leo 2ambie hicho chuo perfect kwako ni kipi!! Or labda we unahic nn kifanyike badala ya kubwatuka tu huku!!
 
kaka nashidwa nikujibu nn! Unaponda mtoa mada but still u want some of the action

(+/-), (-) anda (+). unapotoa comment yako mtu, uko huru kukubaliana na mtoa mada au kumpinga,napia hata kukubaliana nae kwa kisi fulani na kumosoa kwa kiasi fulani kulingana na ukweli wa mada na mtoa mada malengo yake,na alichokuwa anamaanisha! jf- where we dare to talk openly, sasa sidhani kama utakuwa unapoteza muda na kuumiza akili saaana kwa vitu kama ivi.
 
hapo kwenye GPA ndogo rekebisha, ujue kuwa, udsm wanabana sana, hivyo wanafunzi wanasoma kwa bidii sana kwasababu bila hivyo wanasup au kudisco...C ya udsm ni sawa na A ya Mzumbe, St. augustine au tumaini. kuhusu ufanisi, hapo hujui unaloongea, wahitimu wa udsm wana extra confidence kuliko wale wa mzumbe saut na tumaini ambao mara zote huwa wanajifeel infirior mno hata makazini wanataka mudsm afanye kwanza wamwangalie ndo wao wafuate.nyie vyuo vingine naomba muwe na adabu udsm ni baba yenu hamuwezi kuongea kwa kumkosea heshima, nyamaza kimya alaaa!

Mkuu, nakukubalia kwa asilimia fulani na kukukatalia kwa asilimia. Hata iweje, UDSM ndo chuo baba Tanzania, kwa sasa! Kwa lugha nyepesi, ubora wa chuo unapimwa na Idadi ya Pofs, PhDs, na walimu wengi wenye Masters Level na Ukongwe wao katika fani ya kufundisha. Anayebisha kwa hili hana jipya.

Kwa upande mwingine, si kweli kwamba wanafunzi wa waliohitim vyuo vingine ni vilaza. Si wote, na ujue kuwa kuna watu wengi tu wamesoma UDSM lakini wako shallow. Si kila aliyesoma UDSM ni genius. Kwa sasa, unaweza ukawa na Div 1.3 na ukapelekwa UDOM au Mzumbe au IFM! Kwa hiyo dhana ya kuwa UDSM ni kila kitu kwa sasa siyo sahihi! Kwa tulioingia chuo miaka ya 2000 kurudi nyuma, na one zetu tuliende UDSM straight kwa kuwa hakukuwa na mbadala, waliofeli ndo walienda huko IFM, MU, CBE na kwingineko.

Pia, elewa kuwa, UDSM haikuwa mbele na kinara kwa fani zote. Sheria ilikuwa na imetawaliwa na UDSM hii haina ubishi. Kozi za Uhasibu zilitawaliwa sana na IDM na IFM, ndo maana ukiangalia kwa kipindi kile Technical Guys wa NBAA walikuwa wanatoka IFM/IDM-Mzumbe na waliokuwa wamesoma ACCA-UK na Kenya.

Kozi za engineering, kwa dhana ya Utawala, UDSM wako juu sana, lakini kwa dhana ya utendaji, Dar Tech, Mbeya Tech, Arusha Tech walikuwa vinara sana, hata watu amabao walitoka Form Four kwenda vyuo hivi na kupiga FTC na akapata Grade B and above, then kujiunga UDSM walikuwa majembe ya kufa mtu!

Hii topic ni pana sana, lakini ukweli bado ni ule ule kuwa, UDSM is the best University so far in Tanzania!
 
nakubaliana na wewe sana, sema wakati mwingine tunakuwa tupo kwenye utani wa jadi tu kati ya hivi vyuo......shwari aisee.
 
ningetarajia jukwaa hili litumike kwa usahihi kwa kujadili mada zinazohusu ukosoaji,uboreshaji na uendelezaji wa mfumo mzima wa elimu yetu ya tanzania,lakini watu wamekuwa wakitoa mada za kitoto za u wa kwanza darasani. Tubadilike.
 
Back
Top Bottom