Tehetehetehetehetehetehetehe. Pamoja na hayo, UDSM ndo baba lao. The best University in TZ.
hapo kwenye GPA ndogo rekebisha, ujue kuwa, udsm wanabana sana, hivyo wanafunzi wanasoma kwa bidii sana kwasababu bila hivyo wanasup au kudisco...C ya udsm ni sawa na A ya Mzumbe, St. augustine au tumaini. kuhusu ufanisi, hapo hujui unaloongea, wahitimu wa udsm wana extra confidence kuliko wale wa mzumbe saut na tumaini ambao mara zote huwa wanajifeel infirior mno hata makazini wanataka mudsm afanye kwanza wamwangalie ndo wao wafuate.nyie vyuo vingine naomba muwe na adabu udsm ni baba yenu hamuwezi kuongea kwa kumkosea heshima, nyamaza kimya alaaa!kusema wanafunzi bora
wanatoka Udsm kwa kigezo
kipi? (kuongoza kuwa na
machangudoa? kuwa na idadi
kubwa ya discont..? kuongoza
kwa low GPA? kuongoza kwa
migomo? kuwa naufanisi
mdogo kwenye maeneo ya
kazi?kuongoza kwa kufanyiwa
tafiti mtaani (za
Undergraduate na
Postgraduate)?
umemsahau mwigulu nchembaKumbe ni muhitamu wa UD? Chck wahitimu wa UD, UDSM finest commnt na hapa
elimu sio sababu ya kuwa millionea au lah! kuna wenye hela na hawana hata elimu ya msingi ndugu!
huyu jamaa mbona kama najua alifukuzwa ud,thou alisoma bt hakugraduate
unahakika mh. mnyika ni graduate wa mlimani?
acha kufuatilia mwanaume kila nachopost na comment zangu humu inafanya nitilie shaka tabia zako
nani? mbatia au!
hukunielewa,sasa riz1 kaupataje umilionea kama sio wizi?zao la ud hlo,riz 1
kaka nashidwa nikujibu nn! Unaponda mtoa mada but still u want some of the action
ili iweje furaha inapimwa kwa comment?
hapo kwenye GPA ndogo rekebisha, ujue kuwa, udsm wanabana sana, hivyo wanafunzi wanasoma kwa bidii sana kwasababu bila hivyo wanasup au kudisco...C ya udsm ni sawa na A ya Mzumbe, St. augustine au tumaini. kuhusu ufanisi, hapo hujui unaloongea, wahitimu wa udsm wana extra confidence kuliko wale wa mzumbe saut na tumaini ambao mara zote huwa wanajifeel infirior mno hata makazini wanataka mudsm afanye kwanza wamwangalie ndo wao wafuate.nyie vyuo vingine naomba muwe na adabu udsm ni baba yenu hamuwezi kuongea kwa kumkosea heshima, nyamaza kimya alaaa!
nakubaliana na wewe sana, sema wakati mwingine tunakuwa tupo kwenye utani wa jadi tu kati ya hivi vyuo......shwari aisee.Mkuu, nakukubalia kwa asilimia fulani na kukukatalia kwa asilimia. Hata iweje, UDSM ndo chuo baba Tanzania, kwa sasa! Kwa lugha nyepesi, ubora wa chuo unapimwa na Idadi ya Pofs, PhDs, na walimu wengi wenye Masters Level na Ukongwe wao katika fani ya kufundisha. Anayebisha kwa hili hana jipya.
Kwa upande mwingine, si kweli kwamba wanafunzi wa waliohitim vyuo vingine ni vilaza. Si wote, na ujue kuwa kuna watu wengi tu wamesoma UDSM lakini wako shallow. Si kila aliyesoma UDSM ni genius. Kwa sasa, unaweza ukawa na Div 1.3 na ukapelekwa UDOM au Mzumbe au IFM! Kwa hiyo dhana ya kuwa UDSM ni kila kitu kwa sasa siyo sahihi! Kwa tulioingia chuo miaka ya 2000 kurudi nyuma, na one zetu tuliende UDSM straight kwa kuwa hakukuwa na mbadala, waliofeli ndo walienda huko IFM, MU, CBE na kwingineko.
Pia, elewa kuwa, UDSM haikuwa mbele na kinara kwa fani zote. Sheria ilikuwa na imetawaliwa na UDSM hii haina ubishi. Kozi za Uhasibu zilitawaliwa sana na IDM na IFM, ndo maana ukiangalia kwa kipindi kile Technical Guys wa NBAA walikuwa wanatoka IFM/IDM-Mzumbe na waliokuwa wamesoma ACCA-UK na Kenya.
Kozi za engineering, kwa dhana ya Utawala, UDSM wako juu sana, lakini kwa dhana ya utendaji, Dar Tech, Mbeya Tech, Arusha Tech walikuwa vinara sana, hata watu amabao walitoka Form Four kwenda vyuo hivi na kupiga FTC na akapata Grade B and above, then kujiunga UDSM walikuwa majembe ya kufa mtu!
Hii topic ni pana sana, lakini ukweli bado ni ule ule kuwa, UDSM is the best University so far in Tanzania!