Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

Wenye followers zaidi ya 5k hapo twitter, wanahisi wao ndio wanatumia mtandao kihalali,na ndio wana sauti nchi hii.
 
Madaktari wapya vijana! walifaa kuwa number moja
 
Hawa ndio wanahitaji ukombozi wa hali ya juu ili wajielewe wametoka wapi na wanakwenda wapi kwani hawajielewi kabisa!
 
Hapo kwenye wasanii, ule wimbo "sanaa isiwe daraja la kupata maskini wenye majina makubwa" .......... wengi maisha ni ya kuunga unga! mwenzetu wa JF naona umejielezea wewe namna ulivyo! asante kwa kibwagizo cha leo....
 
Ok, tremendously you have forgotten the most essential things which had vanished from your brain when you were writing these all.
 
Umemsahau mwigulu
 
Mbona wasabato siwaoni kwenye list[emoji849]
 
Ma-Ofisa utumishi walikuwaga waalimu sasa !kale kaafisa utumishi ka Arusha! kamwanadada hivi keusiii!! kanasukaga vibutu! kanajonaga kaleee!! heee!!
 
Ma-Ofisa utumishi walikuwaga waalimu sasa !kale kaafisa utumishi ka Arusha! kamwanadada hivi keusiii!! kanasukaga vibutu! kanajonaga kaleee!! heee!!
Bila kuwasahau maafisa elimu,tena awe na elimu ya kuchomelea, lahaulaah!
 
Hapo Kwa wanamuziki Sasa,Hawa majamaa wanajioneaga shwari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…