Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

Ukiachana na majina ya Raisi , jina la Diamond ndo jina maarufu Zaid , asilimia 70 ya watanzania wanamjua Kwa kumuona au kumsikia diamond

Labda Watanzania wa Mtandaoni na Mijini
Huko mjini tuu labda wawe na Simu Janna au Luninga.
Tena Luningani Diamond haonyeshwi sana
 
chawa type zote plus wale mabaunsa kwenye bar kubwa na clubs.
 
Yule Bw. aliyesema mwendazake anachapa kazi mnataka aje Kariakoo au Magomeni kufanya nn wakati alitambua alikuwa kkakata kamba na Jana kaharibu Hali ya hewa tena kwenye mishiko ya watumishi kaja na 0%
 
Hapa nmecheka sana kwenye namba 15
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimecheka sana kwa hiki Kundi No:3 la Wana chuo wa vyuo Vikuu na Kund No:4 la Wana Jamiiforum. Umesahau Group la watu wa Twitter nawao wanajiona wajanja sana
 
Wenye IST utafikiri indicator zimekufa, hawazitumii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…