Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

Trafiki wakiwa barabarani wanajiona ndo wamiliki wa barabara zote maana ukikatiza tu kwenye anga zao na gari lako ana amua tu kukusimamisha.
 
Mimi nimevutiwa na sehemu mbili Kwa Wana Jf na wanachadema,kuwa niukweli usiopingika kuwa ni waerevu na wanayajua mengi tangu kwenye siasa na mambo yanayolihusu taifa na nchi yetu.Hivyo hizi timu mbili ni zaidi ya jeshi kubwa linaloweza kupata matokeo yanayotarajiwa hata extra time πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Kuna makundi haya umeyasahau*
-Wafanyakazi wa mabenk haswa, awe na nyumba goba, harrier au crown. Huwa wanajiona wajanja wakat wa naishi kwa madeni/MIKOPO iliowalemea.

-Wazazi wanaosemesha watoto Royal Elite wakati Ada ni za kawaida na zinawafanya watumbukie kwenye madeni makubwa na mzito.

-Runners huwa wanajiona wamefanikiwa sana.

-Kuna wale wavaa vikaptura/vinjunga na jezi na wa naendesha IST au Crown na wanakunywa samaki samaki au Etina huwa wa najihisi ni wajanja mno.
 
wale wanaokunywa heineken!!! Wanajionaga wameyapatia maisha!!!
 
13. Unatusingizia mkuu. Ile hufanywa kama huduma. Ukiona mtu anaitumia kuwakandamiza wenzie, basi ana matatizo. Sema ego nayo iko bampa
 
Simba wanajiona wako na timu kumbe ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…