Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Wanajionaga wao ndio wapo sahihi sana, wanawasikiliza wachungaji kuliko yeyote yule.
 
Ukweli mtupu...😅😂🤣
 
Kabisa, pia watu waliowahi kwenda nje ya nchi, lazima atahakikisha unalifahamu hilo🤣 kwa namna yeyote ile.
 
Kwa staili hii Sasa Kila mtu ameyapitia maisha.
 
Mwamba umetisha[emoji23][emoji23]
 
NIT wanatoa hio course ya Customer service, aiseeee wanajiona wameyapatia maisha
NIT Kuna wale waliokua wanasoma aircraft maintainance walikua wajiona Wao ndo kilak2 pale chuoni

Shule wale candidate classes walikua wanajisikia Sana kama Wao ndo kilak2

Kuna yule jamaa anayepanda daladala anajuana either na konda au dereva na halipi nauli nao pia

Wale wenye div1 kuna kpnd flan walitamba Sana Sana

Wale wanaoongea kifaransa nao hawajatuacha salama kabsa

Wale waliokua wanakula special diet nao wamo

Wachezaji wa ligi kuu wakija kucheza ndondo wanajikuta Wao ndo Wao exceptional kabsa

Wale jamaa waliokuanga na dstv Miaka ya 2010 kwenda chini walikua wanajiona Wao ndo Wao

Wafanyakazi wa TPA, TASAC, TRA, TMDA, TARURA na wengineo nao hawako nyuma
 
14 sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…