Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

NIT Kuna wale waliokua wanasoma aircraft maintainance walikua wajiona Wao ndo kilak2 pale chuoni

Shule wale candidate classes walikua wanajisikia Sana kama Wao ndo kilak2

Kuna yule jamaa anayepanda daladala anajuana either na konda au dereva na halipi nauli nao pia

Wale wenye div1 kuna kpnd flan walitamba Sana Sana

Wale wanaoongea kifaransa nao hawajatuacha salama kabsa

Wale waliokua wanakula special diet nao wamo

Wachezaji wa ligi kuu wakija kucheza ndondo wanajikuta Wao ndo Wao exceptional kabsa

Wale jamaa waliokuanga na dstv Miaka ya 2010 kwenda chini walikua wanajiona Wao ndo Wao

Wafanyakazi wa TPA, TASAC, TRA, TMDA, TARURA na wengineo nao hawako nyuma
Umetisha mkuu kuwaongezea hawa
 
Back
Top Bottom