Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Hawa ni wale waliopewa kazi na mwendazake 2019... Mamaaaaaaa
Ah ah hatari Mkuu
Unaweza toka na barua kutoka kwa kitongoji au Mwenyekiti wakijiji fresh tuu lakini ukifika kwa mtendaji wakata Yani hujuia anatakana nini maana anavyo kuzungusha bora kitongoji anakuambia kwamba kupiga muuli ni 3000 na Mwenyekiti 5000 Sasa mtendaji wakata atakuambia maneno ya kukukatisha tamaa na mwisho wasiki usipate muhuli wake
 
Mleta mada usiwasahau Motivation speaker na wafuasi wao.
Hao jamaa wanaishi kwenye ulimwengu wao wa kufikirika, ni mwendo wa kukupa rejea za theories za mafanikio huku wakijiona wameyapatia maisha kweli, kumbe wameshoka vibaya.
Tuna ukute motivation speaker mwenyewe au mfuasi wa motivation speaker ni jinsia ya kike, balaa lake lazima uchoke.
 
. Waliofanikiwa kupata seat kwenye daladala la safari ndefu
Hawa nao hujikutaga maisha wameyapata kwa sababu ya ule msuguano wa kupata nafasi sio rahisi, wanatuchoraga sisi tulioshilkilia bomba kimoyomoyo wanasema ''Pambaneni na hali zenu nani aliwaambia msiwahi kugombea siti?. Wengine wanalalaga mwanzo mwisho ili tu asisumbuliwe kupisha mtu wa kundi maalumu.
Hahahha Hawa pia?
 
Mleta mada usiwasahau Motivation speaker na wafuasi wao.
Hao jamaa wanaishi kwenye ulimwengu wao wa kufikirika, ni mwendo wa kukupa rejea za theories za mafanikio huku wakijiona wameyapatia maisha kweli, kumbe wameshoka vibaya.
Tuna ukute motivation speaker mwenyewe au mfuasi wa motivation speaker ni jinsia ya kike, balaa lake lazima uchoke.
Hawa ni balaa....uki.Mkrash anakwambia uko negative......hiyo postive haijawahi kumpa kitu chochote.
 
Kuna hawa Ma Secretary wanajikutaga wao ndio boss katika ofisi
Unaenda na issue ya kuonana na boss wake
Anakujibu boss hayupo nieleze mim huku kamebana pua
Utafikir wanaweza kutatua issue uliyoenda nayo
 
ukiwa na Gari yako subaru shida...Ukipanda ndege kwa hela zako pia Shida...Ukisoma ukawa Eng nayo tabu..Hii ndio Bongo yetu😀
Mkuu usininukuu vibaya, hapa tunawazungumzia wale wanaojikweza... kuna wale wenye vyote hivyo ulivyovitaja lakini wako humble hawajioni special sana
 
Mkuu ume-cover maeneo mengi lakini naona sometime huwa unawatasfiri watu kwa mtazamo wako wanakuwa hawako unavyowadhania,chuki ya kukosa siti kwenye gari inaweza kukufanya uwaone waliokaa kama wanaringa
Mkuu upo sahihi lakini sio serious kihiivyo mkuu

Vingine kiuhalisia vinatokea kabisa, ila hapa ni chitchat tufurahie tusikaze fuvu saaaana
 
Back
Top Bottom