Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #101
Kuna baadhi ya route zingine mpaka upate seat umesota mkuu tena kwenye miji iliyochangamka au maeneo yenye wakazi wengi hasa mida ya asubuhi na jioni... Wengine inabidi wakodi vijana wa kuwashikia siti halafu baadae wanawapa kifuta jasho.. True storyCity ya kukaa kwenye dala dala ni kitu cha kukosa?