Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

City ya kukaa kwenye dala dala ni kitu cha kukosa?
Kuna baadhi ya route zingine mpaka upate seat umesota mkuu tena kwenye miji iliyochangamka au maeneo yenye wakazi wengi hasa mida ya asubuhi na jioni... Wengine inabidi wakodi vijana wa kuwashikia siti halafu baadae wanawapa kifuta jasho.. True story
 
Alafu kuna wale wakikamata seat ya Dirishani safari za mikoani..

Aisee!!🤣🤣🤣
 
sina uhakika,

ila ukiona mtu anapenda kujigamba ni mkimya basi ujue sio mkimya
Mimi ni mmoja ya watu wakimya ila sipendi hiyo hali. Sababu ni hii: ikitokea kuna issue imetokea mtaani au kazini na ukihadithia watu wanapenda kusema..."kwa kuwa amekuona wewe mpole ndio maana akakuambia hivyo au akakufanyia hivyo"....ingekuwa mimi pangechimbika. Hivyo nikaanza kuona upole na ukimya kwa baadhi ya watu unatafsiriwa kwamba ni ubwege, uzubaifu, uoga, kutokuwa na uthubutu, ufala, uboya.

Hivyo pamoja na ukimya wangu sasa ninajitahidi kuchangamka na kujichanganya. Na pia, nimeanza kuwa na complications za maisha na kuwa mkorofi kiasi.
 
HII NI KWELI KABISA MKUU, kuna mshikaji alikuwaga na sifa hivihivi juzi kati kuna wikiendi moja timu kubwa zilizingua DADEQ, weee kwani tulimuona tena? Wazee wa kubeti nawaelewa RISK TAKERS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…