Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Ukweli mtupu kiongozi, mimi kinachonikeraga ni ile Kaunta 7 wahudumu wawili
Bora basi na hao wawili wapige kazi kwa moyo wote ila atakuwepo mmoja hakai akatulia kwenye dirisha lake, kila muda ni kunyanyuka na kuzunguka zunguka tu mule ndani.

Anabakia mmoja aliyeko serious....😅😅😅
 
Nimecheka sana. Eti "Am very excited to be part of this journey."

Sema kwenye bookworms kuna hawa wasoma vitabu vya uchumi na selfhelp kama Rich Dad poor dad, millionare fastlane, the monk who sold his ferrari, eat that frog, atomic habit, whi moved my cheese et al. Hawa ni wanaona wameyapatia hata kwa bookworms wenzao.

Matajiri wa madini

Waalimu waliojenga.
 
Daaahh, sipo kwenye nafasi hata moja uliyotaja.

Ngoja nitafute nafasi nijichomeke
 
Hata wewe kwa kujinsi ulivyo vitaja hvyo vitabu Ni Kwamba umevisomaaa sana
 
Mkuu ume-cover maeneo mengi lakini naona sometime huwa unawatasfiri watu kwa mtazamo wako wanakuwa hawako unavyowadhania,chuki ya kukosa siti kwenye gari inaweza kukufanya uwaone waliokaa kama wanaringa
Inashangaza Sana [emoji38] mm nashanga wkt siti unakah ukipata nafsi

Sasa hao nao wanajisikia VIP

Mleta mada Ana tatzo la afya ya akili huwenda huyu Ni gentamycine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…