Orodha ya wilaya 10 zinazoongoza Kwa kuwa na watu wenye furaha Tanzania

πŸ˜€πŸ˜€ Nchi nzima na wilaya zake.

Hii kamba hii.

Kikubwa uzi ushapandishwa tayari.

Nchi hii ni kubwa kama haupo interested kwa ishu za kutembea.

Wilaya zote nimezivuruga Mkuu. Japo zipo ambazo sijakaa hata kwa wiki lakini walau siku mbili tatu nimetembea.

Kama ningekuwa na pesa nafikiri ningezunguka kila nchi hapa duniani, hiyo ndio starehe kwangu, nikitumia usafiri wa ndege, Treni, boat, na magari huwa najisikia raha mno
 
Kisarawe hii ninayoijua ya milo miwili?
Chai saa 6 na ugali saa 10 basi?
 
Unaiongeleaje wilaya ya ileje mkuu!?
 
Hiyo ya 7 si kweli, mbona Mama Diamond anawaletea nuksi waume zake? Akiachana nao ndiyo wanakuwa na furaha zaidi.
 
Tanga raha, Karibuni Tanga tunywe Al kasusu,gawaha na kashata,Supu ya pweza.
 
Sasa mtu yuko busy kuhangaika na maisha ataipata furaha saa ngapi?
 
Wilaya ya Morogoro Mjini.
Kama ulikuwa haujui Morogoro ndio sehemu pekee ambapo watu wake wanaishi Kwa furaha, hata Mgeni ukifika Morogoro mjini utajikuta unafurahia maisha.
Ingizo hili limenifanya nisisome hii thread
 
Tarime je? Mtu ana furaha mpaka anakwambia nikate japo na panga kidogo.....damu iende ardhini niungike na utajiri wa Dunia hii.....ukikataa anakuwasha makofi.....sasa eti wageni wanaogopa...mwee!
Sikia ukitaka amani kule.

ukiambiwa ivo na mtu wewe muwashe barabara.. ....afu kimbiaaaa ndo walivo....baada ya week tu ana ngombe elfu hamsini mazizi tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…