Orodha yangu ya Marais bora kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho tokea tupate uhuru

Interesting, kwahyo kwako mkapa na mwinyi hawajafanya mchango wowote?
Marais ni Wawili tu tokea nchi hii Iwepo na sitawataja Kwa sababu na intereste maalumu

Ngoja nitaje mmoja ni NYERERE Alafu mwingine sitamtaja
 
Maaavi matupu Pwani huwa tunasema
 
Samia atashika mkia kama alivyoshika mkia kwenye matokeo yake ya form 4 (alipata zero)!.
The worst president ever, bahati mbaya zaidi anang'ang'ania tena awamu ingine...na kwakuwa kashika mpini anaungwa mkono KINAFKI (chawa & teuzi)!!.
 
Mkuu saivi samia unamuweka wapi? Maana muda tushampa.
Afu vipi ranking yako Iko vilevile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…