Orodha yangu ya watu walioupiga mwingi 2023

Ujue nimeanza kukupenda nafikilia kumuacha ba Nai 😍❀️😁
 
Kusema za ukwel 2023 ulikua na mambo mengi sana kwangu mazuri kiasi mabaya kiasi changamoto kiasi!

Online! Hasa jf maana ndo natumia sana; nimekua na marafiki ambao tumehabarishana, tumeshauriana, na tumetaniana na wengine tumejibizana vibaya/nimewajibu vbya nakumbuka nliwahi mjibu vbaya uttoh2002 & binti kiziwi nichukue
fursa hii kuwaomba radhi sana!

My wishful: siku Moja panapo majaliwa yake Mwenyezi Mungu na Kwa ridhaaa yao nionae na hawa mabraza Ivan Stepanov & Glenn
 
Ko Kaka una taka uonane na matajiri wenzio, sisi ma jobless Hutu TakiπŸ€’πŸ˜†πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…