The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Sisi ndiyo Simba SC AKA;"Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua kila kitu na wametumia nguvu kubwa kumbakisha Stephane, Pacome na Mzize na malengo yao ni kufika mbali Ligi ya Mabingwa Afrika".
Wilson Oruma Mchambuzi wa soka kutoka E FM na TV E akimzungumzia kocha wa Yanga, Sead Ramovic’.
View attachment 3155967
Chanzo: Mpenja TV
Wajinga wajinga kama oruma wapo wengi nchi hii,,kocha kaondoka Ts galax kwasababu kubwa ya kutokuwa na mipango ya kubeba makombe, na pia sababu kubwa iliyomuondosha kule ni kitendo cha wamiliki kuuza wachezaji Kila walipokuwa na ubora akukubaliana na ivyo vitendo sasa unaweza kusemaje kwamba kocha amekuja yanga kukuza wachezaji peke yake na kuuza? Msipotoshe malengo ya kocha mkaanza kupuyanga na ya kwenu,,kocha alihojiwa akasema yeye ameamua kuja kwenye timu yenye malengo makubwa na kiu ya kubeba makombe ayo maneno ya oruma aseme aliyatoa wapi!"Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua kila kitu na wametumia nguvu kubwa kumbakisha Stephane, Pacome na Mzize na malengo yao ni kufika mbali Ligi ya Mabingwa Afrika".
Wilson Oruma Mchambuzi wa soka kutoka E FM na TV E akimzungumzia kocha wa Yanga, Sead Ramovic’.
View attachment 3155967
Chanzo: Mpenja TV
Naunga mkono hojaHuyu alishasema Nabi hana uwezo kimataifa pia, muda uliongea.
Ni wa kumpuuza tu
Kati ya hao mashabiki, nadhani mimi sitakuwa mmoja wao. Maana niliunga mkono kutimuliwa kwa Gamomdi toka siku ile ya mechi na Tabora United.Yanga wamefanya unnecessary gamble, huyu kocha mpya mambo yasipoenda sawa viongozi watarajie mashabiki kuwageuka vibaya mno
ya kweliii