Oruma: Kocha wa Yanga hafiki Krismasi

Oruma: Kocha wa Yanga hafiki Krismasi

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
"Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua kila kitu na wametumia nguvu kubwa kumbakisha Stephane, Pacome na Mzize na malengo yao ni kufika mbali Ligi ya Mabingwa Afrika".

Wilson Oruma Mchambuzi wa soka kutoka E FM na TV E akimzungumzia kocha wa Yanga, Sead Ramovic’.

Screenshot 2024-11-19 121926.png

Chanzo: Mpenja TV
 
View attachment 3155967

Chanzo: Mpenja TV
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
"Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua kila kitu na wametumia nguvu kubwa kumbakisha Stephane, Pacome na Mzize na malengo yao ni kufika mbali Ligi ya Mabingwa Afrika".

Wilson Oruma Mchambuzi wa soka kutoka E FM na TV E akimzungumzia kocha wa Yanga, Sead Ramovic’.

View attachment 3155967

Chanzo: Mpenja TV
Wajinga wajinga kama oruma wapo wengi nchi hii,,kocha kaondoka Ts galax kwasababu kubwa ya kutokuwa na mipango ya kubeba makombe, na pia sababu kubwa iliyomuondosha kule ni kitendo cha wamiliki kuuza wachezaji Kila walipokuwa na ubora akukubaliana na ivyo vitendo sasa unaweza kusemaje kwamba kocha amekuja yanga kukuza wachezaji peke yake na kuuza? Msipotoshe malengo ya kocha mkaanza kupuyanga na ya kwenu,,kocha alihojiwa akasema yeye ameamua kuja kwenye timu yenye malengo makubwa na kiu ya kubeba makombe ayo maneno ya oruma aseme aliyatoa wapi!
 
Inaweza isiwe Christmas kama jaluo alivyosema lakini kocha atakaa kipindi kifupi Sana ndani ya Yanga! Champions league itamuondoa
 
Yanga wamefanya unnecessary gamble, huyu kocha mpya mambo yasipoenda sawa viongozi watarajie mashabiki kuwageuka vibaya mno
Kati ya hao mashabiki, nadhani mimi sitakuwa mmoja wao. Maana niliunga mkono kutimuliwa kwa Gamomdi toka siku ile ya mechi na Tabora United.

Kwa hiyo kama timu itaendelea kuvurunda, basi viongozi watatakiwa kufanya usajili kwa lengo la kuondoa wachezaji mizigo ndani ya klabu.
 
Back
Top Bottom