hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
- Thread starter
- #21
Kamanda Mpinga mwenyewe alikuwepo kwenye Press Conference.
Ameahidi atawapanga yange yange wa kutosha barabarani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wangu huko kuzito.......nitasubiri ITV michezo nitizame.........saiz zetu Guru.........hi hi hi.......
Nami nitakuwa napasha bajaj yangu moto.
sasa usikose basi ingawa
Siku hiz wadosi ndo wamedominate hii gemu.
Bado naona kuna mapungufu
Wadosi ndio wana magari ya kuchezea, wakina meku hata wakiwa na magari kumi ujue ni mtaji huo.
Bado ni tatizo lakini.
Wapo weusi wengi wana uwezo mkubwa sana kwenye haya mashindano ila hawashiriki wengi kwa kukosa udhamini.
Hata hao wadosi unaowasema trust me, hawana hela kihivyo kiasi cha kufanya hiyo makitu.
Wanapata sponsor ila jiulize sasa inakuwaje.
Hivi kiingilio kilikuwa ngap? Sponsor ni kwa ajili gan?
Utoto nilikuwa shabiki mkubwa sana wa mashindano haya ya Dar-es-salaam, nilikuwa naamka hasubuhi sana kuwahi uwanja wa taifa. Enzi za Dudu, kama mtamkumbuka. Na ile familia ya mashabiki wa Simba wakina Muchacho.
Hao walikuwa wanaenda kushabikia au walikuwa na wao wanaingia kwenye mashindano?