Oryx Energy Rally of Tanzania

Mkuu wangu huko kuzito.......nitasubiri ITV michezo nitizame.........saiz zetu Guru.........hi hi hi.......

Njoo walau uchungulie tu kama unaogopa kutazama.
Tehe tehe tehe....
 
sasa usikose basi ingawa
Siku hiz wadosi ndo wamedominate hii gemu.
Bado naona kuna mapungufu

Wadosi ndio wana magari ya kuchezea, wakina meku hata wakiwa na magari kumi ujue ni mtaji huo.
 
Wadosi ndio wana magari ya kuchezea, wakina meku hata wakiwa na magari kumi ujue ni mtaji huo.

Bado ni tatizo lakini.
Wapo weusi wengi wana uwezo mkubwa sana kwenye haya mashindano ila hawashiriki wengi kwa kukosa udhamini.
Hata hao wadosi unaowasema trust me, hawana hela kihivyo kiasi cha kufanya hiyo makitu.
Wanapata sponsor ila jiulize sasa inakuwaje.
 

Hivi kiingilio kilikuwa ngap? Sponsor ni kwa ajili gan?
 
Dah, nipo moshi kwa sasa kama ningekuwepo hapo lazima ningejongea kujionea udereva mahiri wa watu.
 
Seen!

Vipi kuhusu elimu kwa umma kuhusu usalama wa wapita kwa miguu na amali zao?
 
Hivi kiingilio kilikuwa ngap? Sponsor ni kwa ajili gan?

Sijajua washiriki wameambiwa walipe kiasi gani kama entry fee.
Hizo hela za masponsor ndugu yangu hata usiulize manake..........
 
Kwa wale waliokuwa tazara leo hivi watanzania tutarjei nini maana wale waganda wa team azania na yule babu wa kenya team kibo walivoonyesha umahiri kwenye kona inatisha.
 

Mzee wa A to Z from Arusha na gari yake aina ya Porsche yenye thamani ya 400mil TZS naye alitia fora
 
Utoto nilikuwa shabiki mkubwa sana wa mashindano haya ya Dar-es-salaam, nilikuwa naamka hasubuhi sana kuwahi uwanja wa taifa. Enzi za Dudu, kama mtamkumbuka. Na ile familia ya mashabiki wa Simba wakina Muchacho.

Hao walikuwa wanaenda kushabikia au walikuwa na wao wanaingia kwenye mashindano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…