Oryx Energy Rally of Tanzania

Ilikuwa ni familia kubwa, baadhi yao walikuwa washiriki pia.

Hao jamaa wanaonesha wanapenda sana michezo, maana kwenye mpira wapo, kwenye Taarab wapo, na hii leo ya magari nimeipata mpya kuhusu wao.

Wanastahili sifa.
 
hekimatele hivi kwenye kuingia kwenye haya mashindano ni lazima utumie subaru au mitsubishi evo?
Ukitaka ulete super car kwenye hayo mashindano inaruhusiwa?
 
Last edited by a moderator:
hekimatele hivi kwenye kuingia kwenye haya mashindano ni lazima utumie subaru au mitsubishi evo?
Ukitaka ulete super car kwenye hayo mashindano inaruhusiwa?

Kaka,
Yaani ni wewe tu.
Mbona wapo walioingia na toyota wamezifanyia tuning ya kutosha na kuongezea power. Jamaa wa Kenya wameingia na toyota.
Kuna mzee wa Arusha (mmiliki wa A to Z) ameingia na Porsche yake ambayo alifanya special order mwenyewe kwa ajili ya rally.
Kifua chako tu kaka kama ukiamini hiyo gari utakayoingia nayo inaweza kufanya wonders then inshallah as long as vigezo na masharti yote yamezingatiwa.
 

Sawa mkuu...
Safi ijayo nitajaribu kuingia kwenye hiyo michuano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…