Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika mitungi ya gas.
Nimenunua mtungi wa ORIX gas wiki iliyopita na kutumia lakini chakushangaza badala ya gas Sasa inatosha unyevunyevu wa Maji Maji. Na mtungi Bado uko na uzito wa karibu nusu.
Sasa mnatumia fursa hii ya kutokuonekana Kwa kilichomo ndani ya mtungi kutujazia sijui Maji ili uzito uwe ni Sawa?
Hii inaonyesha kuwa ni MAKUSUDI hiki kitendo mnakifanya na waTanzania wengi tunaathirika.

Mamlaka husika wako wapi? Ila watu bana. Hata kwenye nafaka gunia unakuta wanaongezea kilo kadhaa za mchanga. Kuna wakati Vietnam walikataa korosho zetu kwasababu ya mawe kuongezwa.
Ukienda kwenye mizani ni hivyo hivyo. Na huyo mnyonge anayeonewa na kuibiwa naye siyo mtakatifu ni mwizi vilevile kwenye nafasi yake.
Hayo huyasemayo yamefanyika, sifanyi biashara ya gas Wala mkaa na Wala Sina faida yoyote ya kupotosha umma, ukweli lazima usemwe na kama Kuna kasoro wazirekebishe. Kuna jirani yangu nae alipata tatizo kama Hilo, Kwa iyo nae ni mpotoshaji?
Usikimbilie tu to conclusion eti ni upotoshaji, wakati watu wanathirika Kwa huduma mbovu.
Inaonekana imekula chumvi ya kutosha, haifanyi kazi ipasavyo, badala ya kuleta gas inaleta maji..
Kumbuka hiyo mitungi ina "LIQUIFIED GAS", hivyo kama burner ina fault itashindwa kuiconvert hiyo liguid gas into gas, mwisho wa siku ndiyo unapata matokeo kama unayoyapata hapo.
Kanunue burner ingine uone kama utaendelea kupata hilo tatizo.
Zambia kuna cooperative ya maziwa waliweka sheria wakipima maziwa kutoka kwa vikundi kabla ya kununua na kukuta yamekachuliwa hawayanunui tote kwa pamoja. Kwa iyo hivyo vikundi vya maziwa walikuwa makini sana
Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika mitungi ya gas.
Nimenunua mtungi wa ORIX gas wiki iliyopita na kutumia lakini chakushangaza badala ya gas Sasa inatosha unyevunyevu wa Maji Maji. Na mtungi Bado uko na uzito wa karibu nusu.
Sasa mnatumia fursa hii ya kutokuonekana Kwa kilichomo ndani ya mtungi kutujazia sijui Maji ili uzito uwe ni Sawa?
Hii inaonyesha kuwa ni MAKUSUDI hiki kitendo mnakifanya na waTanzania wengi tunaathirika.
Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika mitungi ya gas.
Nimenunua mtungi wa ORIX gas wiki iliyopita na kutumia lakini chakushangaza badala ya gas Sasa inatosha unyevunyevu wa Maji Maji. Na mtungi Bado uko na uzito wa karibu nusu.
Sasa mnatumia fursa hii ya kutokuonekana Kwa kilichomo ndani ya mtungi kutujazia sijui Maji ili uzito uwe ni Sawa?
Hii inaonyesha kuwa ni MAKUSUDI hiki kitendo mnakifanya na waTanzania wengi tunaathirika.
Hakuna mwenye uwezo wala teknolojia ya kuchanganya / kuchakachua gesi na maji angalia hio burner yako.... Yaani maji yanakuwa compressed yanakuwa gesi au wakifanya hivyo maji yatatuama chini na gesi itabakia juu