Kuiga sauti ya Nyerere hakumfanyi mtu kuwa na akili za Nyerere.Msanii wa Vichekesho Oscar Nyerere amewahimiza Watanzania Kuilinda Amani ya nchi hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu akisisitiza kupuuzwa kwa wanaharakati wanaochochea kuwepo kwa Vurugu.
Akizugumza na Wanahabari katika Uzinduzi wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Ikungi Magharibi Msanii huyo Amesema iwapo Machafuko yatatokea nchini athari kubwa ni kwa wanaoishi nchini na sio wanaharakati wanaochochea Vurugu wakiwa nje ya nchi
Chanzo: Wasafi FM
Juzi kulikua na kesi ya lisu hamkuwa na taarifa? Mbona Yule kijana kashaambuliwa sahivi ndugu zake ndo wamebeba matatizo ya kumtibu nyie mnawafariji kwa maneno huenda hata Pole huja toa maisha hayako hivo Dada angu usijifikirie wewe tu fikiria na familia zetu sisi masikini tunabakije kama vijana wetu mnawatoa kafara nyie familia zenu ziko salama ushawahi kuwaza walau upeleke mwanao uliemzaa akapigane mahakamaniSasa nyie mlitaka wanaohimiza maandamano wawepo Tanzania ili muwaondoe kwenye uso wa dunia?
Ruhusuni freedom of speach na freedom ya kuandamana kwa amani muone jinsi watu watakavyojitokeza kupaza sauti.
Waliopo nje ya nchi wanatusaidia maana ni vigumu kuwakamata, so mimi sioni tatizo.
Ndo kitu cha maana ulichokiona?
Dogo kiazi kweli weweMwambieni mange kimambi Nae aje tujumuike wote kwenye mapambano asitoe maelekezo tu
Vijana gani hap wanatolewa kafara? Vijana wanaenda wenyewe kwa matakwa yao, hakuna mzazi wake aliyemtumaJuzi kulikua na kesi ya lisu hamkuwa na taarifa? Mbona Yule kijana kashaambuliwa sahivi ndugu zake ndo wamebeba matatizo ya kumtibu nyie mnawafariji kwa maneno huenda hata Pole huja toa maisha hayako hivo Dada angu usijifikirie wewe tu fikiria na familia zetu sisi masikini tunabakije kama vijana wetu mnawatoa kafara nyie familia zenu ziko salama ushawahi kuwaza walau upeleke mwanao uliemzaa akapigane mahakamani
Kaka yangu min me, samahani sana huwa sipendi kukukwaza, kuna mtu alikua hajui juzi ni kesi ya lisu, Yule kijana kapamban Sana kaishia kuumizwa, mbona hakusaidiwa mpaka yule mama kajitosa Key board warriors wako upside wa pili wa barabara wanallaaani vikali na kurekodiDogo kiazi kweli wewe
Sasa mbona wewe ni kama unanilazimisha mimi nikuamini wewe eti ili niwe jasiri niandamane, nyie familia zenu ziko salama kwa nini usisubiri vijana tutapo amua kupambana sisi wenyewe nasi wee ufosiVijana gani hap wanatolewa kafara? Vijana wanaenda wenyewe kwa matakwa yao, hakuna mzazi wake aliyemtuma
Kula pepsi bariiidi, umetishaSasa nyie mlitaka wanaohimiza maandamano wawepo Tanzania ili muwaondoe kwenye uso wa dunia?
Ruhusuni freedom of speech na freedom ya kuandamana kwa amani muone jinsi watu watakavyojitokeza kupaza sauti.
Waliopo nje ya nchi wanatusaidia maana ni vigumu kuwakamata, so mimi sioni tatizo.
Wewe dada hata kuandika tu hujuiJuzi kulikua na kesi ya lisu hamkuwa na taarifa? Mbona Yule kijana kashaambuliwa sahivi ndugu zake ndo wamebeba matatizo ya kumtibu nyie mnawafariji kwa maneno huenda hata Pole huja toa maisha hayako hivo Dada angu usijifikirie wewe tu fikiria na familia zetu sisi masikini tunabakije kama vijana wetu mnawatoa kafara nyie familia zenu ziko salama ushawahi kuwaza walau upeleke mwanao uliemzaa akapigane mahakamani
Sawa mwalimu wa English
Sielewi kwanini watu wengi hadi viongozi wa dini wanahimiza AMANI na sio HAKI.Msanii wa Vichekesho Oscar Nyerere amewahimiza Watanzania Kuilinda Amani ya nchi hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu akisisitiza kupuuzwa kwa wanaharakati wanaochochea kuwepo kwa Vurugu.
Akizugumza na Wanahabari katika Uzinduzi wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Ikungi Magharibi Msanii huyo Amesema iwapo Machafuko yatatokea nchini athari kubwa ni kwa wanaoishi nchini na sio wanaharakati wanaochochea Vurugu wakiwa nje ya nchi
Chanzo: Wasafi FM