GE2025 Oscar Nyerere (Mchekeshaji): Wanaotuchochea tufanye vurugu wapo nje ya nchi

GE2025 Oscar Nyerere (Mchekeshaji): Wanaotuchochea tufanye vurugu wapo nje ya nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sijamsikiliza mpaka mwisho maana hana mvuto. Halafu hampatii mwalimu nyerere hata kidogo atafute kazi nyingine ya kufanya
Kabisa hana mvuto nimesikiliza sentesi mbili nikajihisi kuboreka
 
Hata kumuigiza huyo Nyerere mwenyewe ameshindwa kabisa. Sauti haifanani kabisaaaaa. Kaishia kujipaka majivu tu kichwani. Mxiuuuu!
 
Sasa nyie mlitaka wanaohimiza maandamano wawepo Tanzania ili muwaondoe kwenye uso wa dunia?
Ruhusuni freedom of speech na freedom ya kuandamana kwa amani muone jinsi watu watakavyojitokeza kupaza sauti.
Waliopo nje ya nchi wanatusaidia maana ni vigumu kuwakamata, so mimi sioni tatizo.
I love you
 
Msanii wa Vichekesho Oscar Nyerere amewahimiza Watanzania Kuilinda Amani ya nchi hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu akisisitiza kupuuzwa kwa wanaharakati wanaochochea kuwepo kwa Vurugu.

Akizugumza na Wanahabari katika Uzinduzi wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Ikungi Magharibi Msanii huyo Amesema iwapo Machafuko yatatokea nchini athari kubwa ni kwa wanaoishi nchini na sio wanaharakati wanaochochea Vurugu wakiwa nje ya nchi




Chanzo: Wasafi FM
Hivi hawa chawa mbona hawajawahi kuongelea haki wao hukimbilia kuongelea amani ilhali wanaotekwa, wanaoteswa na wanaonajisiwa pamoja na familia zao ukisema nchi Ina amani wanatamani hata kulia, watu wanatekwa na kuuawa unawaambiaje kuna amani. Founder wa JF ndugu Melo yuko chimbo unamwambiaje kuna amani, watu kanisa wanalosali limefungwa kimabavu na hata kusalia nje wamekatazwa unawaambiaje kuhusu amani.
Hawa chawa no wonder tunafahamishwa kuwa a good percentage of them ni mabwabwa.
 
Msanii wa Vichekesho Oscar Nyerere amewahimiza Watanzania Kuilinda Amani ya nchi hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu akisisitiza kupuuzwa kwa wanaharakati wanaochochea kuwepo kwa Vurugu.

Akizugumza na Wanahabari katika Uzinduzi wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Ikungi Magharibi Msanii huyo Amesema iwapo Machafuko yatatokea nchini athari kubwa ni kwa wanaoishi nchini na sio wanaharakati wanaochochea Vurugu wakiwa nje ya nchi




Chanzo: Wasafi FM
Huyu awezi ongea point yeyote kwa sababu na yy ni miongoni mwa hao wanaokula keki
 
Hata kumuigiza huyo Nyerere mwenyewe ameshindwa kabisa. Sauti haifanani kabisaaaaa. Kaishia kujipaka majivu tu kichwani. Mxiuuuu!
I was searching for this comment, sauti hazifanani hata chembe na hata gestures zimemshinda kabisa.
Unyerere wake labda ni hilo la kujipaka chokaa kichwani.
 
Mwambieni mange kimambi Nae aje tujumuike wote kwenye mapambano asitoe maelekezo tu

..Polisi wasihusike kuzuia maandamano.

..Abduli, Wanu, na magenge yao, ndio wabebe marungu kwenda kukabiliana na maandamano.

..Polisi masikini hawajafaidika chochote na utawala wa Mama Abduli hivyo wasihusike kuupambania dhidi ya wanaharakati.
 
Watoto wa Nyerere si walikataa hawa wasanii kutumia jina la Baba yao? Hii issue iliishaje?

Nakumbuka mpaka Steve Nyerere alihojiwa kuhusu hii issue.
 
Msanii wa Vichekesho Oscar Nyerere amewahimiza Watanzania Kuilinda Amani ya nchi hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu akisisitiza kupuuzwa kwa wanaharakati wanaochochea kuwepo kwa Vurugu.

Akizugumza na Wanahabari katika Uzinduzi wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Ikungi Magharibi Msanii huyo Amesema iwapo Machafuko yatatokea nchini athari kubwa ni kwa wanaoishi nchini na sio wanaharakati wanaochochea Vurugu wakiwa nje ya nchi




Chanzo: Wasafi FM
Nani kamchochea? Hiari yake aheshimu hisia za wengine kama yeye ameridhika
 

Attachments

  • Addy_Adams_330p_20250917_124024.mp4
    175.4 KB
Back
Top Bottom