Oscar Oscar atua rasmi Wasafi FM

Oscar Oscar atua rasmi Wasafi FM

Huwa simuelewi kabisa huyu jamaa. Ukiachana na vile meme zake za Twitter huko kwenye kutangaza ni empty hana lolote.
Akiwa serious huwa ni mtu kweli hasa akiwa anachambua football sema Kuna muda huwa anajitoa ufahamu kumvuta followers.
 
Amejaza mashavu utafikiri anatafuna mchele mbichi.
 
Yule ni akiongea sentens tatu ya nne kichekesho
Ya tano kumsifia Diamond.

Ila bora yeye kuliko yule Momo alikuwa kapoa sana, alipwaya mno kwenye kipindi. Yeye saa zote kama anatoa mawaidha ya dini. Nahisi alikuwa pale sababu ya kuwa kaka wa Diamond.

Na yule demu nae ana kaujuaji fulani wa kutataka kupingwa hoja zake. Kuna wakati huwa anakatisha wenzie kihuni kabisa japo Baba Levo ndio kiboko yake.

In short kile kipindi kilihitaji mabadiliko.
 
Pale Mgahawa aliyekuwa akiharibu ni Baba Levo ndio ameharibu tonge la watu
Watu siku hizi wanapenda kuchekeshwa,Baba levo ndo mtu sahihi pale.Si unaona Seki kapigwa chini,sababu Seki yupo serious.
 
Huwa simuelewi kabisa huyu jamaa. Ukiachana na vile meme zake za Twitter huko kwenye kutangaza ni empty hana lolote.
Hana lolote,ila yeye na Baba levo watavuta wasikilizaji,matangazo ya CRDB ,NBC na makampuni yenye mikwanja mirefu yatazidi kumiminika.
 
Back
Top Bottom