Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, Oscar Oscar, aliwahi kusema Machi 14, 2024 kuwa baadhi ya watendaji wa Serikali badala ya kutekeleza majukumu yao ipasavyo, wamekuwa wakitumia muda mwingi kulitaja jina la Rais Samia Suluhu Hassan kuliko kufanya kazi zinazowahusu.
"Badala ya watendaji baadhi ya watendaji wa serikali kutimiza majukumu yao wao kazi yao ni kutaja jina la mama Samia yaani kuna mtu hamalizi dakika mbili [hajataja] Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan"
"Kazi kubwa ya wasaidizi wa rais ni kumsaidia kutatua changamoto za wananchi". "Tengeneza daraja alafu msifie. Fika mahali watu wana changamoto ya kadi zao za bima... Tatua hii shida hapa".
My take
Moja ya ugonjwa mkubwa unaolitasa taifa hii kwa baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali ni uchawa unafika mahala utendaji wa kweli kwa wananchi unakosekana kabisa!