makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Uto kama uto... huwezi elewa sababu kwenu huko wenye akili ni wawili tu.. manara na kikwete 🤣Kolo umejielezea sana🤣🤣🤣🤣
Toka huko gongowazi... 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uto kama uto... huwezi elewa sababu kwenu huko wenye akili ni wawili tu.. manara na kikwete 🤣Kolo umejielezea sana🤣🤣🤣🤣
Hizo kumbukumbu zipo Mwananchi tu sio CAF wala TFFKama ni mara moja si walishatupia au hukuona? Na kama vipi ingia tu google u-search Gazeti la Mwananchi:Fainali ya kombe la CAF 1993 kati Simba vs Stella Abdijan. Utaona picha ya Mhe.Prof.Philemon Sarungi akimvisha medali mchezaji wa Simba Damian Kimti.
Lakini pia katika kusearch kwako utakutana na maelezo ya mchezaji Malota Soma akitaja kuwa, siku hiyo ya fainali Simba waliambulia medali ya fedha, na pia mfadhili wao (Azim Dewji) aliwapa kifuta jasho cha magari ya Corola kila mchezaji.
Oscar aongezewe ulinziView attachment 2613928
Kuwa kwako Mwandishi wa habari kusikung'oe ubongo .
Hivi Simba hii hukuwahi kuiona ?
View attachment 2613930
Heshima ni kitu cha bure ukae ukijua hilo .
Pamoja na umuhimu wa Katiba mpya lakini huku ulikoenda siko
We Kolo, Ismail Aden Rage alishawaita Wanasimba kuwa ni timu ya ''Mambumbumbu''Uto kama uto... huwezi elewa sababu kwenu huko wenye akili ni wawili tu.. manara na kikwete [emoji1787]
Toka huko gongowazi... [emoji1787]
Prooovuu zitooo, mpira bila udambwi udambwi wa utani haunogiView attachment 2613928
Kuwa kwako Mwandishi wa habari kusikung'oe ubongo .
Hivi Simba hii hukuwahi kuiona ?
View attachment 2613930
Heshima ni kitu cha bure ukae ukijua hilo .
Pamoja na umuhimu wa Katiba mpya lakini huku ulikoenda siko
Nadhani benchi la ufundi wamemuona! Keshapata shavu!!Kolo umejielezea sana🤣🤣🤣🤣
Kwani yanga kachukua makombe gani ambayo simba hajachukua.yan hii kuona mwezi vimisimu viwili hivi ndo mnajiona mko vizuri kumbe hakuna lolote.Wakiambiwa ni wabovu midomo inarefuka. Wanaukimbia ukweli kwa kujijaza upepo eti simba ni ya kimataifa.
Timu nzuri hupimwa kwa mafanikio ya makombe sio kufa kiume.
Kabla sijamfahamu vizuri nilikuwa kama wewe lakini ukimfahamu huna haja ya kujijaza sumuView attachment 2613928
Kuwa kwako Mwandishi wa habari kusikung'oe ubongo .
Hivi Simba hii hukuwahi kuiona ?
View attachment 2613930
Heshima ni kitu cha bure ukae ukijua hilo .
Pamoja na umuhimu wa Katiba mpya lakini huku ulikoenda siko
Kolo,yanga msimu huu lazima achukue at least kombe. Hayo ndiyo mafanikio ya msimu. Usianze hekaya na hayo ndiyo mafanikio na malengo ya klabu kwa msimu, sio kufa kiume wewe kolombwizo.Kwani yanga kachukua makombe gani ambayo simba hajachukua.yan hii kuona mwezi vimisimu viwili hivi ndo mnajiona mko vizuri kumbe hakuna lolote.