Oscar Oscar dharau zako kwa Simba hazivumiliki

Oscar Oscar dharau zako kwa Simba hazivumiliki

Kama ni mara moja si walishatupia au hukuona? Na kama vipi ingia tu google u-search Gazeti la Mwananchi:Fainali ya kombe la CAF 1993 kati Simba vs Stella Abdijan. Utaona picha ya Mhe.Prof.Philemon Sarungi akimvisha medali mchezaji wa Simba Damian Kimti.

Lakini pia katika kusearch kwako utakutana na maelezo ya mchezaji Malota Soma akitaja kuwa, siku hiyo ya fainali Simba waliambulia medali ya fedha, na pia mfadhili wao (Azim Dewji) aliwapa kifuta jasho cha magari ya Corola kila mchezaji.
Hizo kumbukumbu zipo Mwananchi tu sio CAF wala TFF
 
Uto kama uto... huwezi elewa sababu kwenu huko wenye akili ni wawili tu.. manara na kikwete [emoji1787]
Toka huko gongowazi... [emoji1787]
We Kolo, Ismail Aden Rage alishawaita Wanasimba kuwa ni timu ya ''Mambumbumbu''

Ndio maana MO anawadanganya kila siku na ninyi mbumbumbuz mnaingia line[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kolo umejielezea sana🤣🤣🤣🤣
Nadhani benchi la ufundi wamemuona! Keshapata shavu!!

Ukweli huu Simba hawautaki ni kuwa siku Simba walipomuuza Chama na Miquissone basi wakaua staili ya mpira wao na kawaida timu iliyopotea kurudi kwenye form ni kazi ngumu sana. Wakati mwingine Huwa form hairudi kabisa! Mfano CDA Dodoma au Majimaji fc!

Angalia pia Liverpool wamemuuza Sadio Mane kwa ubaguzi kwa vile hawataki mtu mweusi sana na wameharibu kabisa staili yao ya kucheza na mzuka wa timu na Sasa hawajui kuwa mzimu wa Sadio Mane utawatesa miaka mingi. Liverpool wanaweza wasirudi tena kwenye form kama Ile ya zamani ya kina Ian Rush na Paul Ince miaka ya 1990 au Ile ya kina Robbie Fowler au Ile form ya msimu iliyopita tu ya kukabana koo na Man City.

Mashabiki wote wa Simba ni vilaza isipokuwa Rage tu na wengi ni bodaboda wamezaliwa miaka ya 2000 hawajui chochote kuhusu timu kushuka kiwango (Simba) au kupanda kiwango ( Yanga) , wanachojua mashabiki wa Simba Makolo wahed ni kuvaa majezi ya Mo na kutupigia makelele Yao ya mavuvuzela na misele ya bodaboda mitaani!

Simba inatia huruma hakika imeloa imeloaaa, ila makolo bwana hamnazo sana wanavyojitutumua kitaa na kombe lao la kufa kiume utadhani ni mabingwa wa world cup!

Wachezaji wa thimba ni wazee, kocha Mzee, mashabiki mbumbumbu wamejaa na ni wazee kifikra japo wengi ni umri mdogo kama mwanangu Makolo wameshamharibu he is just ten years old eti nae ni kolo nalazimika kumnunulia majezi ya Mo! Nina hasira kinoma!! stup**d!

Rage is genius apewe Maua yake now now Yuko hai mzima wa afya tele. Na ajengewe sanamu lake msimbazi itapendeza sana! Mimi ni utopolo lia lia bingwa wa kuitabiria mabaya thimba na Niko tayari kuchangia saruji mfuko mmoja kujenga sanamu la Genius Rage!
 
Wakiambiwa ni wabovu midomo inarefuka. Wanaukimbia ukweli kwa kujijaza upepo eti simba ni ya kimataifa.
Timu nzuri hupimwa kwa mafanikio ya makombe sio kufa kiume.
Kwani yanga kachukua makombe gani ambayo simba hajachukua.yan hii kuona mwezi vimisimu viwili hivi ndo mnajiona mko vizuri kumbe hakuna lolote.
 
Kwani yanga kachukua makombe gani ambayo simba hajachukua.yan hii kuona mwezi vimisimu viwili hivi ndo mnajiona mko vizuri kumbe hakuna lolote.
Kolo,yanga msimu huu lazima achukue at least kombe. Hayo ndiyo mafanikio ya msimu. Usianze hekaya na hayo ndiyo mafanikio na malengo ya klabu kwa msimu, sio kufa kiume wewe kolombwizo.
 
Back
Top Bottom