Kolo umejielezea sana🤣🤣🤣🤣
Nadhani benchi la ufundi wamemuona! Keshapata shavu!!
Ukweli huu Simba hawautaki ni kuwa siku Simba walipomuuza Chama na Miquissone basi wakaua staili ya mpira wao na kawaida timu iliyopotea kurudi kwenye form ni kazi ngumu sana. Wakati mwingine Huwa form hairudi kabisa! Mfano CDA Dodoma au Majimaji fc!
Angalia pia Liverpool wamemuuza Sadio Mane kwa ubaguzi kwa vile hawataki mtu mweusi sana na wameharibu kabisa staili yao ya kucheza na mzuka wa timu na Sasa hawajui kuwa mzimu wa Sadio Mane utawatesa miaka mingi. Liverpool wanaweza wasirudi tena kwenye form kama Ile ya zamani ya kina Ian Rush na Paul Ince miaka ya 1990 au Ile ya kina Robbie Fowler au Ile form ya msimu iliyopita tu ya kukabana koo na Man City.
Mashabiki wote wa Simba ni vilaza isipokuwa Rage tu na wengi ni bodaboda wamezaliwa miaka ya 2000 hawajui chochote kuhusu timu kushuka kiwango (Simba) au kupanda kiwango ( Yanga) , wanachojua mashabiki wa Simba Makolo wahed ni kuvaa majezi ya Mo na kutupigia makelele Yao ya mavuvuzela na misele ya bodaboda mitaani!
Simba inatia huruma hakika imeloa imeloaaa, ila makolo bwana hamnazo sana wanavyojitutumua kitaa na kombe lao la kufa kiume utadhani ni mabingwa wa world cup!
Wachezaji wa thimba ni wazee, kocha Mzee, mashabiki mbumbumbu wamejaa na ni wazee kifikra japo wengi ni umri mdogo kama mwanangu Makolo wameshamharibu he is just ten years old eti nae ni kolo nalazimika kumnunulia majezi ya Mo! Nina hasira kinoma!! stup**d!
Rage is genius apewe Maua yake now now Yuko hai mzima wa afya tele. Na ajengewe sanamu lake msimbazi itapendeza sana! Mimi ni utopolo lia lia bingwa wa kuitabiria mabaya thimba na Niko tayari kuchangia saruji mfuko mmoja kujenga sanamu la Genius Rage!