Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Hahah!!! Acha basi mambo ya nywila tuijadili Ihefu 😄
Itashuka kweli au? 😄Hee jamani yamekua hayo😂😂😂😂
Pia usisahau Yanga Wanajitoa Kwa jamii ...Hii nchi tungekua mbali sana kimpira isingekuwepo yanga....
Hawa jamaa wana fitina za kijinga sana...
Wako kama nyoka, anakung'ata halafu hakuli...
Hata hizi draw za simba, wao ndio wamefunga wachezaji wetu.
Huyo ni mchambuzi.....hana timu ....kama Mimi tu sisi wachambuzi hatuna mahaba na timu yeyoteYani kama oscar oscar ndo reference yako basi ww ni hamnazo...huyo ndumilakuwili
[emoji23][emoji23]Oscar na mtoa uzi na wote wataoamini huu upumbavu ni Mahayawani.
Yaani timu kucheza kwa bidii kutafuta ushindi ni kosa? Thubutu!. Yaani Ihefu kuwa na matokeo mabovu ni ushirikina wa chura, hakuna. Mpira ni mchezo wa makosa. Na haimaanishi kufunga timu fulani lazima uzifunge timu zingine.
Ninachoona hapa ni mind game. Utopolo baada ya kuona wanatepeta, kikosi kishaanza kuyumbayumba huku wameshakata tamaa Klabu Bingwa, basi wanatengeneza propaganda ili timu zinginezo za ligi kuu zisicheze kwa viwango tukuka.
Kwa sababu bila bahasha na propaganda za kipuuzi, Yanga hana chake.
Kabisa [emoji23]Hao Ihefu hata itokee wakashuka daraja, sitawasikitikia. Maana ndani ya msimu mzima wachezaji wao huandaliwa kuifunga Yanga tu kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Highland Estate.
Baada ya hapo timu hugeuka na kuwa pombe ya kwenye sherehe. Yaani kila mtu aliyealikwa, anakaribishwa kunywa. Nilisema humu baada ya ile mechi! Na mpaka sasa ndicho kinachotokea. Hata msimu uliopita baada ya kuifunga tu Yanga, wakabweteka kama ilivyo kawaida yao.
Kuna kimataifa ingine au ipi wanaaga hawahawa walocheza fainali au ipo team ingine unaizungumziaJamaa wanaendekeza ushirikina ndio maana kimataifa hamna wanachokifanya wakifika mapema wanaaga.
Yas tulianzia bahasa kwa makolo kaka tukawapa 5 sasa kwanini watoto nao wasipokeeOscar na mtoa uzi na wote wataoamini huu upumbavu ni Mahayawani.
Yaani timu kucheza kwa bidii kutafuta ushindi ni kosa? Thubutu!. Yaani Ihefu kuwa na matokeo mabovu ni ushirikina wa chura, hakuna. Mpira ni mchezo wa makosa. Na haimaanishi kufunga timu fulani lazima uzifunge timu zingine.
Ninachoona hapa ni mind game. Utopolo baada ya kuona wanatepeta, kikosi kishaanza kuyumbayumba huku wameshakata tamaa Klabu Bingwa, basi wanatengeneza propaganda ili timu zinginezo za ligi kuu zisicheze kwa viwango tukuka.
Kwa sababu bila bahasha na propaganda za kipuuzi, Yanga hana chake.
Itashuka kweli au? 😄
Stand united na Mwadui hao vipi?Nimetafakari Sana na kuikumbuka Lipuli FC ya Iringa ambayo ilishuka daraja baada ya kuonekana inaikomalia club ya Yanga.
Mashabiki na wanachama wa Yanga walisema tutahakikisha Lipuli inapotea katika mpira wa miguu na kweli ni msimu huohuo ambapo moja ya tukio la kukumbukwa ni mpira uliokitwa ndani ya nyavu za goli refa kuamua ni iwe kona ilihali mpira haukuguswa na mchezaji yeyote wa Yanga zaidi ya golikipa wao kuuokota ndani ya wavu.
Kitu hicho kilihaidiwa juzi na mashabiki wa timu hiyo pale Ihefu ilipowakunguta goli 2.Waliumia Sana na wakati wakihojiwa walisema wataifanyia Ihefu kilekile walichoifanyia Lipuli.
Tangu mechi hiyo mpaka sasa Ihefu imecheza mechi 8 bila kupata ushindi katika michezo hiyo waluyocheza nyumbani na ugenini
Msimu huu wameshuka dimbani Mara 12 na wamepata ushindi Mara 2 sare 4 na vipigo 6.
[emoji989]Wananchi mna tabia mbaya [emoji3][emoji3]View attachment 2833471
Sio huna tim wew ni utopwinyo og ,,sema unaona li tim lako linaanza kuvulunda huko CL una anza kujificha kwenye chaka la kwamba huna tim🤪🤪Huyo ni mchambuzi.....hana timu ....kama Mimi tu sisi wachambuzi hatuna mahaba na timu yeyote
NB Kuna mwaka pia Makolo walitaka kushuka daraja ....sema tu huruma za yanga zikaiponesha[emoji23][emoji23]