Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Oscar na mtoa uzi na wote wataoamini huu upumbavu ni Mahayawani.
Yaani timu kucheza kwa bidii kutafuta ushindi ni kosa? Thubutu!. Yaani Ihefu kuwa na matokeo mabovu ni ushirikina wa chura, hakuna. Mpira ni mchezo wa makosa. Na haimaanishi kufunga timu fulani lazima uzifunge timu zingine.
Ninachoona hapa ni mind game. Utopolo baada ya kuona wanatepeta, kikosi kishaanza kuyumbayumba huku wameshakata tamaa Klabu Bingwa, basi wanatengeneza propaganda ili timu zinginezo za ligi kuu zisicheze kwa viwango tukuka.
Kwa sababu bila bahasha na propaganda za kipuuzi, Yanga hana chake.