Oscar Oscar, mwandishi anayesumbuliwa na mafanikio ya Yanga

Oscar Oscar, mwandishi anayesumbuliwa na mafanikio ya Yanga

Wewe kwa mtazamo wako yupo sahihi?

Kuchafua brand huku akitumia na mwanya huo kujipatia ugali?

Na hili haliwezi kuja kumletea shida baadae?

Tumsaidie kuliko kumshangilia,muda bado upo.
Huyu jamaa wewe hujamuelewa, Jamaa anaenda ku;lingana na matukio hata upande wa pili huwa anawatupiaga vijembe sana. Mfatilie kiutashi sio kiushabiki
 
Oscar Oscar Ni shabiki wa Young African.

Ni vile tu watu wengi hamjui kuhusu hili.
 
Huyo Jamaa mbona ni Utopolo mzuri.....! alitemeshwa mzigo Azam Media baada Kuleta Utopolo wake akiwa Mwajiriwa Wa Azam.
Nilishangaa eti naye anataka Uraisi Wa TFF kwa akili ndogo anazozionyesha Kwenye Posts zake
Hakika jamaa ni [emoji532][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wewe kwa mtazamo wako yupo sahihi?

Kuchafua brand huku akitumia na mwanya huo kujipatia ugali?

Na hili haliwezi kuja kumletea shida baadae?

Tumsaidie kuliko kumshangilia,muda bado upo.
Utopoloni mwenye akiri ni mzee kikwete na sunday manara ~ by haji manara semaji la utopolo
 
Dah life hili.

Mpira hauitaji hasira wakuu.

Yule mwandishi "X"mwenye kidoti anavyokua anashadadia mambo ya Simba mbona huwa hamuongei? au mkuki Kwa 😃
Kwa binadam mchungu nimekusaidia mkuu Ila ukweli Sisi tunaenda Botswana wao wanaenda singida Kwa jamaa Yao😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom