Oscar Oscar: Simba haitakuja kupata mafanikio makubwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ukiniuliza mimi ni shabiki wa Timu gani nitakujibu, (Mimi ni shabiki wa Simba ila Naipenda Yanga daima) Yanga ni Timu kubwa ambayo inaendeshwa kikubwa licha ya kuwa asilimia kubwa ya viongozi wake wana umri mdogo ila wanaiongoza clab kikubwa upande wa timu yangu simba inaongozwa kitoto sana licha ya kuwa asilimia kubwa ya viongozi wetu ni watu wazima au ndo tuseme akiri zimeshazeeka?[emoji848]

NB mtaishia robo fainali tu[emoji23]

Kwa uongozi huu uliopo tusitarajie mafanikio ndani ya Clab yetu siasa ndo zimetawala" (Oscar Oscar 2023)

Je unakubaliana na uchambuzi wa Oscar Oscar?

1682796331689.jpg
 
Ni maoni yake na uhuru wake.

Wala hatuwezi kumtukana au kuwa ana chuki na Simba kama ambavyo nyinyi mmekuwa mkiaminishwa na Manara kuwachukia wachambuzi ambao wanaiongelea negative Yanga.
Kwa hiyo unakubaliana naye, au hukubaliani na hayo maoni yake? Halafu unaposema "wala hatuwezi kumtukana......." Unamaanisha nini?

Kwa nini mashabiki wengi wa simba mnapenda sana kutukana watu hovyo? Mjifunze kumjibu mtu kwa hoja, badala ya matusi.
 
Kutokubaluana naye sio sababu ishu ni namna ambavyo nimeamua kumchukulia.

Nimeamua kumchukulia kama mchambuzi huru ambaye anaweza kuongea chochote hata kile ambacho mimi sikipendi kusikia.

Utofauti unakuja jinsi ambavyo namtafsiri, na nyie mnavyo watafsiri wachambuzi ambao wanaongea negative kuhusu Yanga.

Nyinyi mnawachukulia kama ni maadui wa Yanga.

Gongowazi wote wameaminishwa Jemedari, Geaf na Wilson Oruma ni maadui wa Uto.

Na hata wewe ni eidha kati yao hao kuna mmoja unamchukia au wote unawachukia.
 
Yanga mara ya mwisho kuingia makundi CAF CHAMPION LEAGUE ilikuwa mwaka gani
 
Timu ambayo haijawahi kufika robo fainali ya klabu bingwa hatuwezi kusema ina mafanikio Maana hayo mashindano mengine ni kama vifungashio tu vya CAFCL .

Hata uto wenyewe ukiwauliza malengo yao kwa mwaka huu ktk mashindano ya CAF ni yapi watakwambia ni kufika angalau makundi ya CAFCL na wala hawasemi CAFcc .
1/4 fainali CAFCL = fainali ya CAFcc. Ukitaka kulijua hili angalia timu iliyofika robofainali ya CAFCL inapata sh. ngapi na ile iliyofika fainali CAFcc bila kombe ni shilingi ngapi.kama ipo tofauti basi ni kidogo Sana.
 
Ni maoni yake na uhuru wake.

Wala hatuwezi kumtukana au kuwa ana chuki na Simba kama ambavyo nyinyi mmekuwa mkiaminishwa na Manara kuwachukia wachambuzi ambao wanaiongelea negative Yanga.
Na siyo lazima maoni yake yatokee kweli. Uchambuzi wa Aina hii ndo huwa unanitia Shaka mnapowaita mashabiki wa Aina hii eti Wachambuzi. Huyu ni shabiki tu kama Kalumekenge wa Sakalilo. Yaani timu ifeli sababu ina viongozi wazee? Kama ujana ni mafanikio basi UV CCM ingekuwa inamiliki ndege zake.
 
Anashauri timu iendane na uongozi wa kisasa
 
Timu ambayo haijawahi kufika robo fainali ya klabu bingwa hatuwezi kusema ina mafanikio Maana hayo mashindano mengine ni kama vifungashio tu vya CAFCL .

Hata uto wenyewe ukiwauliza malengo yao kwa mwaka huu ktk mashindano ya CAF ni yapi watakwambia ni kufika angalau makundi ya CAFCL na wala hawasemi CAFcc .
1/4 fainali CAFCL = fainali ya CAFcc. Ukitaka kulijua hili angalia timu iliyofika robofainali ya CAFCL inapata sh. ngapi na ile iliyofika fainali CAFcc bila kombe ni shilingi ngapi.kama ipo tofauti basi ni kidogo Sana.
Nenda pale mjini CAF..... utakutana na history ya fainali kati ya wananchi na USM Alger
 
Na siyo lazima maoni yake yatokee kweli. Uchambuzi wa Aina hii ndo huwa unanitia Shaka mnapowaita mashabiki wa Aina hii eti Wachambuzi. Huyu ni shabiki tu kama Kalumekenge wa Sakalilo. Yaani timu ifeli sababu ina viongozi wazee? Kama ujana ni mafanikio basi UV CCM ingekuwa inamiliki ndege zake.
Kumiliki ndege sio mafanikio
 
Back
Top Bottom