Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huko kwenu kama wewe ndiye umesoma hao walioishia form four si ndiyo wanakula vinyesi vyao kabisa. Kama elimu yako inakutosha kuanzisha threads za kuinanga Simba 24/7 bora wazazi wako wangekurithisha uchawi wao tu.Wazee walikuambia usome......ukaogopa umande[emoji23][emoji23]
Mkuu kumbe hujui lengo la ELIMU......ni kusaidia kutatua matatizo kwenye jamii.......Sasa huko kwenu kama wewe ndiye umesoma hao walioishia form four si ndiyo wanakula vinyesi vyao kabisa. Kama elimu yako inakutosha kuanzisha threads za kuinanga Simba 24/7 bora wazazi wako wangekurithisha uchawi wao tu.
Kwani pale Yanga vijana ni kina nani na wana kazi gani maana nishakwambia hiyo Mtine ndiyo kichwa halafu unasema wazee hawana maana?Pale simba kijana ni yupi ..... ukiachana na kispika
Wewe unachofanya ni kukejeli na siyo kushauriMkuu kumbe hujui lengo la ELIMU......ni kusaidia kutatua matatizo kwenye jamii.......
That's y hapa tunaongelea nn kifanyike pale msimbazi Ili kuleta ufanisi
Angalia safu za uongozi za vilabu vikubwa duniani uniambie kama vimejaa machalii watupu. Ni jambo jema vijana kupewa fursa ila wangeachwa peke yake hao kina Priva waendeshe timu hata daraja mngeshashuka.Pale mtine tu ndo age imeenda....the rest wote ni vijana
Na siyo lazima maoni yake yatokee kweli. Uchambuzi wa Aina hii ndo huwa unanitia Shaka mnapowaita mashabiki wa Aina hii eti Wachambuzi. Huyu ni shabiki tu kama Kalumekenge wa Sakalilo. Yaani timu ifeli sababu ina viongozi wazee? Kama ujana ni mafanikio basi UV CCM ingekuwa inamiliki ndege zake.