Oscar Oscar: Simba haitakuja kupata mafanikio makubwa

Oscar Oscar: Simba haitakuja kupata mafanikio makubwa

hajawahi ongea point hachambui anatoa tuvichambo tu kwa timu zote
 
Ukiniuliza mimi ni shabiki wa Timu gani nitakujibu, (Mimi ni shabiki wa Simba ila Naipenda Yanga daima) Yanga ni Timu kubwa ambayo inaendeshwa kikubwa licha ya kuwa asilimia kubwa ya viongozi wake wana umri mdogo ila wanaiongoza clab kikubwa upande wa timu yangu simba inaongozwa kitoto sana licha ya kuwa asilimia kubwa ya viongozi wetu ni watu wazima au ndo tuseme akiri zimeshazeeka?[emoji848]

NB mtaishia robo fainali tu[emoji23]

Kwa uongozi huu uliopo tusitarajie mafanikio ndani ya Clab yetu siasa ndo zimetawala" (Oscar Oscar 2023)

Je unakubaliana na uchambuzi wa Oscar Oscar?

View attachment 2672940
Ni sahihi kabisa, viongozi wa simba sc ni makubwa jinga
 
Kuhusu viongozi wa Simba nakubaliana naye lakini Hilo tatizo halipo Simba peke yake hata yanga pia Wana tatizo Hilo mfano sakata la kulipwa kocha Eymael ni kitu ambacho kinajulikana lakini wamekaa kimya kitu kinachoweza kupeleka yanga kupata adhabu pia usajili wa baadhi ya wachezaji kama yule waliyedanganya alikuwa anacheza Epl kwa kifupi viongozi wa hizi timu hawapishani
 
Hivi Andre Mtine ana miaka mingapi, maana mmekalia vijana vijana. Yule ndiyo anajua na anaelekeza kila kinachofanywa na hao kina Hersi mnaowasifia.
 
Hatuna haja na historia ya kufika CAFcc , tunachotaka ni kutuonesha kombe la CAFcc .Kama hamna hilo kombe , kaeni kimya maana hakuna kombe la mshindi wa pili.
[emoji966] medali zipo
 
Kuhusu viongozi wa Simba nakubaliana naye lakini Hilo tatizo halipo Simba peke yake hata yanga pia Wana tatizo Hilo mfano sakata la kulipwa kocha Eymael ni kitu ambacho kinajulikana lakini wamekaa kimya kitu kinachoweza kupeleka yanga kupata adhabu pia usajili wa baadhi ya wachezaji kama yule waliyedanganya alikuwa anacheza Epl kwa kifupi viongozi wa hizi timu hawapishani
Ali kamwe kashalijibia hilo mbona
 
Hivi Andre Mtine ana miaka mingapi, maana mmekalia vijana vijana. Yule ndiyo anajua na anaelekeza kila kinachofanywa na hao kina Hersi mnaowasifia.
Pia wazee lazima wawepo
 
Mimi naungana na Oscar viongozi wa Simba hakuna kitu mule ,Taarabu nyingi sana vitendo Sifuri.
Hii Timu bora angeinunua Bakresa tu ila sio huyu muhindi
[emoji23][emoji23]mudi Mzee wa kususa
 
1688059501999.png
 
Back
Top Bottom