Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Facts ipi hapo?.au kwa sbb ni Simba ndo umeona kuna Facts..sema ww uko biase.Tunaangalia facts aliyotoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Facts ipi hapo?.au kwa sbb ni Simba ndo umeona kuna Facts..sema ww uko biase.Tunaangalia facts aliyotoa
Nyie mlioingia makundi mmepata makombe mangapi? Au ndo kombe la kufa kiumeYanga mara ya mwisho kuingia makundi CAF CHAMPION LEAGUE ilikuwa mwaka gani
Ni sahihi kabisa, viongozi wa simba sc ni makubwa jingaUkiniuliza mimi ni shabiki wa Timu gani nitakujibu, (Mimi ni shabiki wa Simba ila Naipenda Yanga daima) Yanga ni Timu kubwa ambayo inaendeshwa kikubwa licha ya kuwa asilimia kubwa ya viongozi wake wana umri mdogo ila wanaiongoza clab kikubwa upande wa timu yangu simba inaongozwa kitoto sana licha ya kuwa asilimia kubwa ya viongozi wetu ni watu wazima au ndo tuseme akiri zimeshazeeka?[emoji848]
NB mtaishia robo fainali tu[emoji23]
Kwa uongozi huu uliopo tusitarajie mafanikio ndani ya Clab yetu siasa ndo zimetawala" (Oscar Oscar 2023)
Je unakubaliana na uchambuzi wa Oscar Oscar?
View attachment 2672940
Nyie si mlichukua ubingwa wa waliofeli aka vilazaNyie mlioingia makundi mmepata makombe mangapi? Au ndo kombe la kufa kiume
Hatuna haja na historia ya kufika CAFcc , tunachotaka ni kutuonesha kombe la CAFcc .Kama hamna hilo kombe , kaeni kimya maana hakuna kombe la mshindi wa pili.Nenda pale mjini CAF..... utakutana na history ya fainali kati ya wananchi na USM Alger
Umekariri hako kamstari basi bonge la mjanjaRole no 1
Don't attack a person..... attack a comment
Ali kamwe kashalijibia hilo mbonaKuhusu viongozi wa Simba nakubaliana naye lakini Hilo tatizo halipo Simba peke yake hata yanga pia Wana tatizo Hilo mfano sakata la kulipwa kocha Eymael ni kitu ambacho kinajulikana lakini wamekaa kimya kitu kinachoweza kupeleka yanga kupata adhabu pia usajili wa baadhi ya wachezaji kama yule waliyedanganya alikuwa anacheza Epl kwa kifupi viongozi wa hizi timu hawapishani
Aha sawaa, ila Simba wazee hawatakiwi kuwepo si ndiyo?Pia wazee lazima wawepo