Kwa hiyo unakubaliana naye, au hukubaliani na hayo maoni yake? Halafu unaposema "wala hatuwezi kumtukana......." Unamaanisha nini?Ni maoni yake na uhuru wake.
Wala hatuwezi kumtukana au kuwa ana chuki na Simba kama ambavyo nyinyi mmekuwa mkiaminishwa na Manara kuwachukia wachambuzi ambao wanaiongelea negative Yanga.
Kutokubaluana naye sio sababu ishu ni namna ambavyo nimeamua kumchukulia.Kwa hiyo unakubaliana naye, au hukubaliani na hayo maoni yake? Halafu unaposema "wala hatuwezi kumtukana......." Unamaanisha nini?
Kwa nini mashabiki wengi wa simba mnapenda sana kutukana watu hovyo? Mjifunze kumjibu mtu kwa hoja, badala ya matusi.
Na siyo lazima maoni yake yatokee kweli. Uchambuzi wa Aina hii ndo huwa unanitia Shaka mnapowaita mashabiki wa Aina hii eti Wachambuzi. Huyu ni shabiki tu kama Kalumekenge wa Sakalilo. Yaani timu ifeli sababu ina viongozi wazee? Kama ujana ni mafanikio basi UV CCM ingekuwa inamiliki ndege zake.Ni maoni yake na uhuru wake.
Wala hatuwezi kumtukana au kuwa ana chuki na Simba kama ambavyo nyinyi mmekuwa mkiaminishwa na Manara kuwachukia wachambuzi ambao wanaiongelea negative Yanga.
Anashauri timu iendane na uongozi wa kisasaNi maoni yake na uhuru wake.
Wala hatuwezi kumtukana au kuwa ana chuki na Simba kama ambavyo nyinyi mmekuwa mkiaminishwa na Manara kuwachukia wachambuzi ambao wanaiongelea negative Yanga.
Role no 1Ramli chonganishi toka kwa mpuuzi mmoja hiviView attachment 2672995
Nenda pale mjini CAF..... utakutana na history ya fainali kati ya wananchi na USM AlgerTimu ambayo haijawahi kufika robo fainali ya klabu bingwa hatuwezi kusema ina mafanikio Maana hayo mashindano mengine ni kama vifungashio tu vya CAFCL .
Hata uto wenyewe ukiwauliza malengo yao kwa mwaka huu ktk mashindano ya CAF ni yapi watakwambia ni kufika angalau makundi ya CAFCL na wala hawasemi CAFcc .
1/4 fainali CAFCL = fainali ya CAFcc. Ukitaka kulijua hili angalia timu iliyofika robofainali ya CAFCL inapata sh. ngapi na ile iliyofika fainali CAFcc bila kombe ni shilingi ngapi.kama ipo tofauti basi ni kidogo Sana.
Kumiliki ndege sio mafanikioNa siyo lazima maoni yake yatokee kweli. Uchambuzi wa Aina hii ndo huwa unanitia Shaka mnapowaita mashabiki wa Aina hii eti Wachambuzi. Huyu ni shabiki tu kama Kalumekenge wa Sakalilo. Yaani timu ifeli sababu ina viongozi wazee? Kama ujana ni mafanikio basi UV CCM ingekuwa inamiliki ndege zake.