Oscar Oscar: Simba haitakuja kupata mafanikio makubwa

Sasa huko kwenu kama wewe ndiye umesoma hao walioishia form four si ndiyo wanakula vinyesi vyao kabisa. Kama elimu yako inakutosha kuanzisha threads za kuinanga Simba 24/7 bora wazazi wako wangekurithisha uchawi wao tu.
Mkuu kumbe hujui lengo la ELIMU......ni kusaidia kutatua matatizo kwenye jamii.......

That's y hapa tunaongelea nn kifanyike pale msimbazi Ili kuleta ufanisi
 
Kwani pale Yanga vijana ni kina nani na wana kazi gani maana nishakwambia hiyo Mtine ndiyo kichwa halafu unasema wazee hawana maana?
Pale mtine tu ndo age imeenda....the rest wote ni vijana
 
Pale mtine tu ndo age imeenda....the rest wote ni vijana
Angalia safu za uongozi za vilabu vikubwa duniani uniambie kama vimejaa machalii watupu. Ni jambo jema vijana kupewa fursa ila wangeachwa peke yake hao kina Priva waendeshe timu hata daraja mngeshashuka.
 
Aaahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…