Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Akajambe mbele huko..!! Kwani huko Simba alikoishia ROBO fainali mara ya nne sasa, AZAM na YANGA wapo huko? Angewafunga hao wa huko basi..!! SIMBA NI MBOVU, FULL STOPWakati tukimsubiri Marumo Gallants ambaye mpaka sasa amepotea njia ya kuja bongo na hajulikani kafika wapi, Ebu tumsome mchambuzi nguli kutoka viunga vya Kalia
Mchambuzi huyu amesema sababu ya Kufa Kiume FC kushindwa kung'aa ndani na mipaka ya nchi yetu ni kwa kuwa Azam na Yanga ni bora maradufu msimu huu.
Je unaungana na mzee wa Kaliua katika hii hoja yake!!?
Kutenda hawajui bro..!! Hivyo imebaki maneno tu..Walianza na SISI WA KIMATAIFA, NA MPAKA SASA WAMEFIKIA KUFA KIUME, na wengine utawasikia SIWADAISimba wanaongea sana kuliko kutenda.
AahhaaaaVERY TRUE
Kabisa mkuuSimba wanaongea sana kuliko kutenda.
Respect mkuuBila ya unazi Yanga kweli ni bora kwa msimu huu ila sio ile Azam….Simba sijawaelewa timu ilichokicheza pale Nangwanda, kuanzia kiungo mpaka washambuliaji.
1.Straiker mzito
2.Mwingine speed ya konokono anaremba sana
3.Ufaza mwingi mipira inapotezwa hovyo
Mara kwanza nikadhan labda uduni wa uwanja ila baadae nikaona bado hatuna timu ya kucheza Nusu final CAFCL.
AahahaaaaAkajambe mbele huko..!! Kwani huko Simba alikoishia ROBO fainali mara ya nne sasa, AZAM na YANGA wapo huko? Angewafunga hao wa huko basi..!! SIMBA NI MBOVU, FULL STOP
Sawa sawa mkuuSimba ni team nzuri nadhani imekosa uongozi wenye kuelekeza kumekuwa na sauti nyingi sana ndani ya club
Yanga wao wakati wanajenga team walijitahidi sana kujenga na uongozi ndio maana ukiingalia yanga huoni mtu mwingine zaidi ya Hersi na vijana wake wakienda huku na kule chini ya GSM ambae hana comment kwa team ye ni vitendo pekee.
Azam wameimarika ila ni kama hawajui wanataka Nini maana final maji wataita mma pale mkwakwani