Oscar Oscar: Taifa stars imebebwa na Yanga

Timu ya taifa ya spain iliyobeba ubingwa wa dunia 2010 na Euro 2012 ilikuwa na 70% ya wachezaji wa kikosi cha kwanza cha barcelona.
Jordi Alba, puyol na pique. Hawa walikuwa mabeki.
Viungo. Busquet, xavi na iniesta washambuliaji alikuwepo David villa. Kwenye bench alikuwepo pedro na fabrigaz.

Lakini kwa kuwa hakuna ubacelona na umadrid huwezi kuwasikia wakisema eti timu ya taifa ya spain ilibebwa na barcelona.
Shida nayoiona hapa ni Usimba na Uyanga..
 
Duuuuh sure??
 
TAIFA STAR'S IMEBEBWA NA YANGA

Ubora huu wa timu yetu ya taifa umeletwa na Yanga, kwa sasa taifa Stars wachezaji wanacheza kwa kujiamini hususani mabeki,

kujiamini kwa wachezaji wetu wa Yanga inapelekea wachezaji wengine pia kujiamini ni kama nyumba ikiwa na mwanaume ndani watoto hujiamini na kuamini kwamba hata ikitokea ndani ameingia chatu, dingi yupo atapambana naye.

Sote tumeona Yanga ikiwa kwenye ubora wake, timu yetu ya taifa imefuzu Afcon, imecheza chani ni tofauti na kipindi kile ambacho simba ilikuwa bora hakuna cha maana kilicho fanyika kwenye timu ya taifa.

Sasa basi Watanzania wote kwa pamoja tuiombee dua Simba iendelee kukumbwa na migogoro ili timu iwe mbovu kwa maslahi mapana ya Nchi yetu na soka letu. Simba piganeni tu kwa kweli.View attachment 3015622
Inawezekana alikua uchi wakati anaongea hayo
 
Ali salum ni wa yanga unadhani zile save msheri angetoboa.
 
Allikuwa chini ya ulinzi wa wananchi
 
Back
Top Bottom