Oscar Oscar: Taifa stars imebebwa na Yanga

Timu ya taifa ya spain iliyobeba ubingwa wa dunia 2010 na Euro 2012 ilikuwa na 70% ya wachezaji wa kikosi cha kwanza cha barcelona.
Jordi Alba, puyol na pique. Hawa walikuwa mabeki.
Viungo. Busquet, xavi na iniesta washambuliaji alikuwepo David villa. Kwenye bench alikuwepo pedro na fabrigaz.

Lakini kwa kuwa hakuna ubacelona na umadrid huwezi kuwasikia wakisema eti timu ya taifa ya spain ilibebwa na barcelona.
Shida nayoiona hapa ni Usimba na Uyanga..
 
Duuuuh sure??
 
Inawezekana alikua uchi wakati anaongea hayo
 
Ali salum ni wa yanga unadhani zile save msheri angetoboa.
 
Allikuwa chini ya ulinzi wa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…