Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
TAIFA STAR'S IMEBEBWA NA YANGA
Ubora huu wa timu yetu ya taifa umeletwa na Yanga, kwa sasa taifa Stars wachezaji wanacheza kwa kujiamini hususani mabeki,
kujiamini kwa wachezaji wetu wa Yanga inapelekea wachezaji wengine pia kujiamini ni kama nyumba ikiwa na mwanaume ndani watoto hujiamini na kuamini kwamba hata ikitokea ndani ameingia chatu, dingi yupo atapambana naye.
Sote tumeona Yanga ikiwa kwenye ubora wake, timu yetu ya taifa imefuzu Afcon, imecheza chani ni tofauti na kipindi kile ambacho simba ilikuwa bora hakuna cha maana kilicho fanyika kwenye timu ya taifa.
Sasa basi Watanzania wote kwa pamoja tuiombee dua Simba iendelee kukumbwa na migogoro ili timu iwe mbovu kwa maslahi mapana ya Nchi yetu na soka letu. Simba piganeni tu kwa kweli.