Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Huyu ni Oscar Oscar wa wasafi media! Akishakaa kwenye mic za WCB! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utazame boriti kwenye jicho la mwenzako, Osca analalamika kwamba sadaka zimekuwa sehemu ya utapeli makanisani, kama ni hivyo kwanini yeye asianzishe kanisa la kwake la kusali Bure?
Nchi hii tumepewa uhuru wa kuabudu chochote kikubwa usivunje sheria. Wanaotoa sadaka hawajawahi kulalamika popote kwamba wanaibiwa, wewe Osca unaeshinda Kidimbwi na kwenye makampuni ya kubeti Kuna mtu amewahi kukulaumu?
Kwa Nini unasema wachungaji, kwanini unawaunganisha wote? Kwa Nini hukutaja mapadre na makanisa unayosali wewe kwani Huko hamtoi? Kama unaushahidi juu ya madai Yako wataje na uende mahakamani kuthibitisha. Kuliko kuongea kama sukununu!
Unaona kama unashangiliwa ambacho hujui ni kwamba wanaokushangilia nao Wana dini zao na misikiti Yao na wanaabudu miungu Yao! Unaona kama unaongea pointi, lakini ndani yake unawadhalilisha wachungaji hata waliokulea wewe kiimani
Usitumie mic za WCB kukashifu aina ya ibada za watu! Nyinyi mnafanya festival kiingilio ni Bure? Mnachezesha betting Bure? Na ni halali? Endelea kuchambua soka ambalo ndio ibada Yako na Huko pia unatoa viingilio vikubwa na haulalamiki !
Wewe ni kipofu huwezi kuwafundisha watumishi wa mungu Cha kufanya tafadhali ! Huna uwezo wa kuomba hata dakika Tano ! Huna uwezo wa kuhudhuria kwenye ibada mwaka mzima mfululizo ! Na ukifa jeneza lako litapelekwa kanisani, haohao unaowaoita Leo matapeli watasimama kukuzika na kukuombea! NB. Ukirudia nitakutaka uwataje na uje na ushahidi mahakamani