Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

Hapa sijawapata bado osca mchungaji huyu wa kweli au wale wa kutafuta kiki. Hebu tazama mpaka huku muwe na aibu kidogo au ndiyo ninyi mlio mkataa YESUkwa kudai hamumjuwi kuyu ni nani. Kweli makanisa mengine yamezidi michango mpaka waumini wanakimbia, leo mchungaji anataka kutetewa bora hata mwamposa ukipenda toa hutaki acha. Mwogopeni Mungu.
 
Huyu ni osca osca wa wasafi media ! Akishakaa kwenye mic za wcb! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote ! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako ,ndipo utazame boriti kwenye jicho la mwenzako ,osca analalamika kwamba sadaka zimekuwa sehemu ya utapeli makanisani ,kama ni hivyo kwanini yeye asianzishe kanisa la kwake la kusali Bure? Nchi hii tumepewa uhuru wa kuabudu chochote kikubwa usivunje sheria .wanaotoa sadaka hawajawahi kulalamika popote kwamba wanaibiwa ,wewe osca unaeshinda kidimbwi na kwenye makampuni ya kubeti Kuna mtu amewahi kukulaumu? Kwa Nini unasema wachungaji ,kwanini unawaunganisha wote? Kwa Nini hukutaja mapadre na makanisa unayosali wewe kwani Huko hamtoi? Kama unaushahidi juu ya madai Yako wataje na uende mahakamani kuthibitisha ,.kuliko kuongea kama sukununu ! Unaona kama unashangiliwa ambacho hujui ni kwamba wanaokushangilia nao Wana dini zao na misikiti Yao na wanaabudu miungu Yao ! Unaona kama unaongea pointi ,lakini ndani yake unawadhalilisha wachungaji hata waliokulea wewe kiimani ,usitumie mic za wcb kukashifu aina ya ibada za watu! Nyinyi mnafanya festival kiingilio ni Bure? Mnachezesha betting Bure? Na ni halali? Endelea kuchambua soka ambalo ndio ibada Yako na Huko pia unatoa viingilio vikubwa na haulalamiki ! Wewe ni kipofu huwezi kuwafundisha watumishi wa mungu Cha kufanya tafadhali ! Huna uwezo wa kuomba hata dakika Tano ! Huna uwezo wa kuhudhuria kwenye ibada mwaka mzima mfululizo ! Na ukifa jeneza lako litapelekwa kanisani ,haohao unaowaoita Leo matapeli watasimama kukuzika na kukuombea ! Nb. Ukirudia nitakutaka uwataje na uje na ushahidi mahakamani
Namuombea Baraka na Neema za Mungu zikatawale ndimi na maneno ya kinywa chake, yanayo badilika badlika na kuamsha chuki na hasira miongoni mwa jamii badala ya amani na furaha.
Amen.
 
Ww utakuwa umejiunga Jana humu jf, watoa sadaka wapo humu na Kuna nyuzi nyingi tu za kulalamikia huo utitir wa sadaka makanisani
 
Kwanza huyo Oscar na mtamanigi sana nasubiri ajichanganye tu anatuharibia vijana kwa matusi ya reja reja kwa kujifanya kuchekesha bado anaingia mpaka kwa watumishi ..... Time will tell just wait [emoji113]️
Unamtamanije mkuu?
Dalili ya mvua ni mawingu [emoji3509][emoji296][emoji304]
 
Ibada biashara, kwenye tv, social media kujitangaza, Hamna huruma kuwaibia watu masikini na kujenga mahekaru mgari ya gharama na mahoteli, na kujisifia jinsi mlivyobalikiwa , mbona waumini wenu hawabarikiwi nchi inazidi kuwa masikini

Huo ni wivu wa kike
 
Sitaki kuingilia uhuru wa kuabudu lakini huwa najiuliza Kwanini hao wenye makanisa ni mabillionare ila waumini ni masikini wa kutupwa? Utajiri wanaupata wapi? Mimi nadhani jambo hili lijadiliwe kwa staha na kwa kina. Imefikia hatua baadhi ya watu wanaogopa kwenda makanisani weekend kwasababu ya matoleo mengi . Je kuna biashara makanisani?na kama ni ndiyo, hili ndiyo kusudio la dini?

Unauhakika waumini wote ni masikini?
 
Hao wachungaji wakiwa wanaanza huduma wakiwa na maisha magumu hata hamuwazungumzii mna wakejeri siku huduma zao zikikua wakipata waumini wengi mnaanza kuwa wachambuzi na kuzionea sadaka wivu,upuuzi huo.
 
Mimi Nami Nkanini, ninakazia mada, hawa ni matapeli wakubwa, wezi na mashetani, wewe endelea na umasikini wakati tapeli mwamposa anajengea familia yake majumba na mahoteli, tapeli bushiri kawaibia wajinga pale SA, kuwa najisi vitoto vidogo pale na Kawa fugitive, kama yupo clean why kaikimbia SA kwa kuruka ukuta?,tapeli mwingine bado raia wake wanasubiria safari ya kwenda ughaibuni!!!

Unajua mwamposa alianzaje huduma?unajua hadi alitengana na mkewe kisa umasikini na ubize kwenye huduma,leo huduma imefanikiwa wapuuzi kama wewe mnaanza kumuita tapeli,wakati anaanza huduma mlikua wapi kumuita tapeli?wapuuzi ninyi.
 
Huyu ni osca osca wa wasafi media ! Akishakaa kwenye mic za wcb! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote ! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako ,ndipo utazame boriti kwenye jicho la mwenzako ,osca analalamika kwamba sadaka zimekuwa sehemu ya utapeli makanisani ,kama ni hivyo kwanini yeye asianzishe kanisa la kwake la kusali Bure? Nchi hii tumepewa uhuru wa kuabudu chochote kikubwa usivunje sheria .wanaotoa sadaka hawajawahi kulalamika popote kwamba wanaibiwa ,wewe osca unaeshinda kidimbwi na kwenye makampuni ya kubeti Kuna mtu amewahi kukulaumu? Kwa Nini unasema wachungaji ,kwanini unawaunganisha wote? Kwa Nini hukutaja mapadre na makanisa unayosali wewe kwani Huko hamtoi? Kama unaushahidi juu ya madai Yako wataje na uende mahakamani kuthibitisha ,.kuliko kuongea kama sukununu ! Unaona kama unashangiliwa ambacho hujui ni kwamba wanaokushangilia nao Wana dini zao na misikiti Yao na wanaabudu miungu Yao ! Unaona kama unaongea pointi ,lakini ndani yake unawadhalilisha wachungaji hata waliokulea wewe kiimani ,usitumie mic za wcb kukashifu aina ya ibada za watu! Nyinyi mnafanya festival kiingilio ni Bure? Mnachezesha betting Bure? Na ni halali? Endelea kuchambua soka ambalo ndio ibada Yako na Huko pia unatoa viingilio vikubwa na haulalamiki ! Wewe ni kipofu huwezi kuwafundisha watumishi wa mungu Cha kufanya tafadhali ! Huna uwezo wa kuomba hata dakika Tano ! Huna uwezo wa kuhudhuria kwenye ibada mwaka mzima mfululizo ! Na ukifa jeneza lako litapelekwa kanisani ,haohao unaowaoita Leo matapeli watasimama kukuzika na kukuombea ! Nb. Ukirudia nitakutaka uwataje na uje na ushahidi mahakamani
Wachungaji ni matapeli na mapunga
 
Mkituita sie wadhambi, walevi, wavuta bange, wazinzi ni sawa shida kibao kikigeukia kwenu,,,,, hata nyie sio malaika asee,,, shida mnaenda na mbinu za zamani kwenye kizazi kipya
 
Mtoa mada kaandika kwa Jazba sana.

Nawasiwasi ni mmoja wa wanufaika wa hiyo michango ya kilaghai.
 
Kanisa katoriki la mitume, faza tunamlisha sisi wanakanisa, sio kuingiziwa sadaka kwenye simu yake.
 
Back
Top Bottom