Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

Hapa sijawapata bado osca mchungaji huyu wa kweli au wale wa kutafuta kiki. Hebu tazama mpaka huku muwe na aibu kidogo au ndiyo ninyi mlio mkataa YESUkwa kudai hamumjuwi kuyu ni nani. Kweli makanisa mengine yamezidi michango mpaka waumini wanakimbia, leo mchungaji anataka kutetewa bora hata mwamposa ukipenda toa hutaki acha. Mwogopeni Mungu.
 
Namuombea Baraka na Neema za Mungu zikatawale ndimi na maneno ya kinywa chake, yanayo badilika badlika na kuamsha chuki na hasira miongoni mwa jamii badala ya amani na furaha.
Amen.
 
Ww utakuwa umejiunga Jana humu jf, watoa sadaka wapo humu na Kuna nyuzi nyingi tu za kulalamikia huo utitir wa sadaka makanisani
 
Kwanza huyo Oscar na mtamanigi sana nasubiri ajichanganye tu anatuharibia vijana kwa matusi ya reja reja kwa kujifanya kuchekesha bado anaingia mpaka kwa watumishi ..... Time will tell just wait [emoji113]️
Unamtamanije mkuu?
Dalili ya mvua ni mawingu [emoji3509][emoji296][emoji304]
 
Ibada biashara, kwenye tv, social media kujitangaza, Hamna huruma kuwaibia watu masikini na kujenga mahekaru mgari ya gharama na mahoteli, na kujisifia jinsi mlivyobalikiwa , mbona waumini wenu hawabarikiwi nchi inazidi kuwa masikini

Huo ni wivu wa kike
 

Unauhakika waumini wote ni masikini?
 

Hao wachungaji wakiwa wanaanza huduma wakiwa na maisha magumu hata hamuwazungumzii mna wakejeri siku huduma zao zikikua wakipata waumini wengi mnaanza kuwa wachambuzi na kuzionea sadaka wivu,upuuzi huo.
 

Unajua mwamposa alianzaje huduma?unajua hadi alitengana na mkewe kisa umasikini na ubize kwenye huduma,leo huduma imefanikiwa wapuuzi kama wewe mnaanza kumuita tapeli,wakati anaanza huduma mlikua wapi kumuita tapeli?wapuuzi ninyi.
 
Wachungaji ni matapeli na mapunga
 
Mkituita sie wadhambi, walevi, wavuta bange, wazinzi ni sawa shida kibao kikigeukia kwenu,,,,, hata nyie sio malaika asee,,, shida mnaenda na mbinu za zamani kwenye kizazi kipya
 
Mtoa mada kaandika kwa Jazba sana.

Nawasiwasi ni mmoja wa wanufaika wa hiyo michango ya kilaghai.
 
Kanisa katoriki la mitume, faza tunamlisha sisi wanakanisa, sio kuingiziwa sadaka kwenye simu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…