Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

Dini pia Zina uwekazaji ambao unatumia fedha na nguvu na akili ..ndio haulazimishwi kutoa kama am avyo wewe Robert ukipata mshahara wako unakatwa makato yote kwanza ndiyo upewe ,na anaekukata ni huyo huyo aliyekupa Ajira na mshahara ,ndivyo na wewe unapoenda kanisani au msikitini unawajibika kutoa zaka na sadaka zingine ! Tofauti ya sadaka ya zaka na Kodi ni Moja tu ,Kodi usipotoa unashtakiwa na kufungiwa biashara lakini zaka unahimizwa na usipotoa sio lazima ! Macho Yako ni kipofu kwa kuhisi watumishi wanapohamasisha watu watoe sadaka na zaka unahisi ni utapeli hiyo ni kwa sababu mungu mnaemwabudu kwa Sasa mnamtoa google si katika bubujiko na toba
 
Oscar Oscar bado mshamba mshamba hata ukimuangalia unajua fika kabisa hana muda mrefu mjini…
Huwa ana fosi kuchekesha ila ni ushamba tuuu
 
1. Ondoa boriti jichoni mwako ndipo uondoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio
2. Mungu na sio mungu
 
Ndugu yangu Asante Kwa maono mazuri ,lakini ukumbuke kwamba mtu anapokuvua nguo ,usikubali kabisa akuvue mpaka utupu uonekane !
Nakuelewa mkuu. Nakubaliana na nakiri ziko njia nyingi za kupambana na adui.
 
Ukipitia post zangu mbalimbali utagundua mimi ni mkristo!

Kwa sasa hakuna imani ya hovyo kama ukristo hapa duniani.
Na hii ni kwa sbb ya kusanyiko la matapeli wanao iba kwa msaada wa injli!
Kuna makanisa yanayo bariki ndoa za jinsia moja,Nasema kanisa, ebu sema umewahi sikia msikiti gani duniani unafanya hivyo?
Nakukumbusha tu, Injili ya sasa sio injili ya Yesu kristo. Ni injili ya vigezo na masharti kuzingatiwa
*Ni kwenye ukristo kuna matapeli wanao jihita Mungu (Mfano Zumaridi),
*Kuna tapeli linajiita Nabiii Mkuu!!(alipewa na nani hicho cheo!wewe unajua?eti alionana na mungu! wapi lini, lugha gani?. Unawezaje kwenda mbinguni wakati zumardi yuko hapa hapa kanda ya ziwa anapiga selfie na Photo filter?).
*Kuna utajiri wa kutosha wa mitume na manabii, wenye kuuza faraja na matumaini hewa kwa wapumbavu kama............(jaza jibu mwenyewe),
*baada ya mitume na manabii kujaa sasa kuna tapeli anaitwa kuhani(manina walahi)!

Ebu ona;
waliokufa kenya na kuzikwa kwa siri kwenye msitu wa Shakahola wamezidi zaidi ya 400.
Waathiriwa hao wanadaiwa kuagizwa na mhubiri, Paul Mackenzie, kufa njaa ili kurahisisha kupaa kwao mbinguni, ambapo wangekutana na Yesu Kristo.

NI HUKO HUKO WATU WANAKUFAA NJAA WAKAMUONE YESU KRISTO,
NI HUKO HUKO KUNA YESU KRISTO WA TONGAREN ANAISHI NA KAOA WAKE WENGI.


KUUKALIA KIMYA UOVU NI DHAMBI PIA.
OSCAR YUKO SAHIHI


 
Haulazimishwi kuchangia ni hiari Yako
Kwani Oscar kalazimisha watu wasitoe sadaka?
Nyie mnawa-motivate watu watoe sadaka, Oscar anawafumbua macho,nyie mnamaindi,tulieni.
 
Unajua mwamposa alianzaje huduma?unajua hadi alitengana na mkewe kisa umasikini na ubize kwenye huduma,leo huduma imefanikiwa wapuuzi kama wewe mnaanza kumuita tapeli,wakati anaanza huduma mlikua wapi kumuita tapeli?wapuuzi ninyi.
Yule ni tapeli mkuu...Anatuuziaje maji lita 1.5 kwa 10,000
 
Acheni upumbavu. Makanisa siku hizi yamekuwa viwanda vya kufilisi watu. Nampongeza sana Oscar
 
Kwani wewe unalingana na shehe mkuu kifedha?
 
Dogo kunywa K-Vant uamke....ni kweli kabisa Wachungaji ni MATAPELI, kwani ulikuwa hujuwi?
 
Komenti nyingi zimeniwakilisha ASANTENI ongezen sauti
 
kwa sababu ni biashara inayowapa ukwasi wa kutupwa, mimi ni nani niweze kukushinda ushawishi?
Wewe endeleza hiyo biashara ni halali, maana hata serikali inairuhusu.
 
Hao ni matapeli n wapigaji kama kina papa msofe,kama wao wanauwezo huo mbona hutuwaoni hosp wakiponya wagonjwa.
Istoshe hata siku moja huoni wakitoa mapepo watu wenye uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…