Oscar Oscar: Usajili wa Simba lengo lake ni kumaliza tatizo la Ajira Kwa vijana

Oscar Oscar: Usajili wa Simba lengo lake ni kumaliza tatizo la Ajira Kwa vijana

Yani utopolo bado hawaamini wanachokiona...
Simba trending namba uno...
Ndo maana ni club namba wani ukanda huu wa jangwa la sahara...
Hapo ni usajili sipati picha wakichukua kombe la shirikisho...😊😊😊😊
 
Mimi nikila ajira tu nafumua rasta zote.

Najua lawama atatupiwa ngungu boy hata nsipo perfom.

Kuhusu mmea mi situmii labda kina chibu denga.
Ila kwenye Ajira/ usajili...anasifiwa mwamedi [emoji23][emoji23]
 
Yani utopolo bado hawaamini wanachokiona...
Simba trending namba uno...
Ndo maana ni club namba wani ukanda huu wa jangwa la sahara...
Hapo ni usajili sipati picha wakichukua kombe la shirikisho...[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Yaaah mkuu Simba ni namba one kwenye ulozi
 
Yawezekana mkuu ....coz wahindi wanapenda wabongo waajiliwe
Unajua ni mamilioni mangapi ya vijana hawana ajira na uamini kuwa Simba kusajili vijana imeondoa tatizo la ajira kwa vijana, kama unaamini hivyo basi Haji Manara ajengewe mnara kwa kusema kuwa huko wenye akili ni wawili tu.
 
Back
Top Bottom