Oscar Oscar: Usajili wa Simba lengo lake ni kumaliza tatizo la Ajira Kwa vijana

Oscar Oscar: Usajili wa Simba lengo lake ni kumaliza tatizo la Ajira Kwa vijana

😀😀😀😀 wanikumbuke na mimi, sina tu mazoezi ila nikijifua mwezi tu yule jobe haniweki benchi
 
Unajua ni mamilioni mangapi ya vijana hawana ajira na uamini kuwa Simba kusajili vijana imeondoa tatizo la ajira kwa vijana, kama unaamini hivyo basi Haji Manara ajengewe mnara kwa kusema kuwa huko wenye akili ni wawili tu.
Tatizo haliwezi kuisha. ...but Simba wamesaidia kupunguzaa
 
Shoga hilo ukiliona tu limekaa mikao ya kumsubiri mjomba jegejo.
 
..
 
Attachments

  • FB_IMG_1720460876378.jpg
    FB_IMG_1720460876378.jpg
    45.3 KB · Views: 2
Unajua ni mamilioni mangapi ya vijana hawana ajira na uamini kuwa Simba kusajili vijana imeondoa tatizo la ajira kwa vijana, kama unaamini hivyo basi Haji Manara ajengewe mnara kwa kusema kuwa huko wenye akili ni wawili tu.
Mkuu kama unaamini huyo jamaa yupo serious basi namtag Aden Rage.
 
Back
Top Bottom