Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Jul 9, 2024 Thread starter #61 Kalpana said: Labani og weeeeee munyambala.... Click to expand... Naaam [emoji23]
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Jul 9, 2024 #62 magnifico said: Ni kweli, Mangungu na Kigwangala. Click to expand... Kweli nyie nyuma mwiko ni dampo la Simba Mangungu na Kigwangwala mumemepita nao.
magnifico said: Ni kweli, Mangungu na Kigwangala. Click to expand... Kweli nyie nyuma mwiko ni dampo la Simba Mangungu na Kigwangwala mumemepita nao.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jul 9, 2024 #63 hydroxo said: Yuko sahihi kabisa. Haswa ukiwa kijana mfuga rasta unaenda kupata ajira kiulaini kabisa. Click to expand... Na ukiwa unaishi nje ya mipaka ya tz ajira ni nje nje.
hydroxo said: Yuko sahihi kabisa. Haswa ukiwa kijana mfuga rasta unaenda kupata ajira kiulaini kabisa. Click to expand... Na ukiwa unaishi nje ya mipaka ya tz ajira ni nje nje.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jul 9, 2024 #64 Mbaga Jr said: Sasa mbona n vijana kutoka nje ya nchi, anyway mama anaupiga mwingi Click to expand... Kijana DEBORA?
Mbaga Jr said: Sasa mbona n vijana kutoka nje ya nchi, anyway mama anaupiga mwingi Click to expand... Kijana DEBORA?
denoo JG JF-Expert Member Joined Oct 27, 2023 Posts 2,701 Reaction score 9,759 Jul 9, 2024 #65 Huyo kiazi anapenda kutafuta followers kazi yake siku zote ni kun'gata na kupuliza, leo ataisifia Simba aiponde Yanga, kesho ataisifia Yanga aiponde Simba nilishanpuuza
Huyo kiazi anapenda kutafuta followers kazi yake siku zote ni kun'gata na kupuliza, leo ataisifia Simba aiponde Yanga, kesho ataisifia Yanga aiponde Simba nilishanpuuza
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jul 9, 2024 #66 Labani og said: Je kama mdau wa soka unakubaliana na suala hili kuwa usajili wa Simba unalengo la kumaliza tatizo la Ajira Kwa watanzania ???? Na sio kutetea Mataji ?????View attachment 3036548 Click to expand... Ni kweli.
Labani og said: Je kama mdau wa soka unakubaliana na suala hili kuwa usajili wa Simba unalengo la kumaliza tatizo la Ajira Kwa watanzania ???? Na sio kutetea Mataji ?????View attachment 3036548 Click to expand... Ni kweli.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 9, 2024 #67 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw