Oscar Oscar: Uwanja wa mpya wa Yanga uitwe 5-1 stadium

Oscar Oscar: Uwanja wa mpya wa Yanga uitwe 5-1 stadium

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Mtangazaji maarufu wa kituo kikubwa kimoja hapa town wasafi ..... Oscar Oscar amependekeza uwanja mpya utakaojengwa na wananchi uitwe 5_1 Stadium

Mnasemaje kuhusu suala hili la kizalendo ...ndugu watanzania??
1707676944449.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini wasiupe jina la mwiko nyuma, hata nembo ya klabu inathibitisha mwiko nyuma.

Hilo wazo la 5_1 litamfanya mfadhili wa Uto anaonekana kama baba anayefadhili wamama wajawazito.

Deal done 😂😂😂
 
Uitwe " NEW WATUPA MAJINI ARENA"
 
Huyu Jamaa nahisi mbili kasorobo, sijawahi mwelewa kabisa kama havuti bangi basi Kuna fyuzi imechomoka
 
Back
Top Bottom