Oscar Oscar Yanga wanajisevia nini vyumbani? Sababu hakuna Camera Uwanjani.

Oscar Oscar Yanga wanajisevia nini vyumbani? Sababu hakuna Camera Uwanjani.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Huyu jamaa hivi ana akili kweli? Huwa naona kama ni kilaza sana sielewi amewezaje kuwa naye anamitwa Mcha- Mbuzi.
Screenshot_2025-02-12-06-56-56-576_com.twitter.android~2.jpg
 
Mbona mapovu.Katupa jiwe gizani "mateja" yanakurupuka.Bila hizo kweli mngekuwa nafasi ya 7.
 
Watanzania hata vitendawili na methali kuelewa ni shida.
Ndio maana masoud kipanya mtakuja kumzoea na vikatuni vyake.
 
Kwa mwanasheria wenu alivyo kilaza kweli linaweza kwenda mahakamani ila ataenda kutia aibu mahakamani maana kujisevia siyo tusi wala kashfa
 
Back
Top Bottom