Oscar Oscar Yanga wanajisevia nini vyumbani? Sababu hakuna Camera Uwanjani.

Oscar Oscar Yanga wanajisevia nini vyumbani? Sababu hakuna Camera Uwanjani.

Ile mechi ya Jana dhidi ya singida imeibua mambo mengi nafikir viongozi wamejifunza kitu
Yaani watu wanakesha wiki nzima wanasherehekea harusi halafu wnajikusanyia tu pwenti. Hizi dharau hizi. Halafu kutuhadaa zaidi bwana harusi anacheza dakika 90 hahahah
 
Yaani watu wanakesha wiki nzima wanasherehekea harusi halafu wnajikusanyia tu pwenti. Hizi dharau hizi. Halafu kutuhadaa zaidi bwana harusi anacheza dakika 90 hahahah
Haha ha aisee watu mna maneno!!
 
Hapana mechi yao iliyopita yanga ndio alikuwa nyumbani, ilichezwa chamazi kabla yanga hajahamia kmc, kwahiyo mechi yao inayofuata azam ndio atakuwa nyumbani
Yanga walikuwa ni wenyeji wa ile mechi. Kwahiyo, mechi inayofuata Azam ni wenyeji na itapigwa Chamazi. Kipigo kipo palepale.
 
Back
Top Bottom